Utumishi wameita watu 74 kwa ajili ya nafasi 2

Ushwenu wakuu, akapige usaili ama apotezee? Maana yupo mkoani,inabidi asafiri kuja Dar, na chance ya kupata naona ni ndogo saana,Endapo wote 74 watahudhuria
Woga wako umasikini wako
Nipo Kazini mwaka wa tatu nakula Keki ya taifa
Niliajiliwa Kwa interview iliyoalika watu 320
Nafasi ya mtu mmoja
Mwisho wa siku waliitwa watu zaidi katika ajira. Kwa ushauri nitafute chumban(inbox)
 
Asiende Mzee!Abaki Home Tu!Hizo Nafasi Mbili Washaandaa Watu Wao Hiyo Kuita Watu Ni Geresha tu!
 
Nenda mkuu kafanye usaili usiogope mm niliwahi kufanya interview tulikuwa watu 300 na zaidi nafasi 3 ila nilitoboa na nilisafiri zaidi ya km 1250 kufika Dar.
 
Woga wako umasikini wako
Nipo Kazini mwaka wa tatu nakula Keki ya taifa
Niliajiliwa Kwa interview iliyoalika watu 320
Nafasi ya mtu mmoja
Mwisho wa siku waliitwa watu zaidi katika ajira. Kwa ushauri nitafute chumban(inbox)
Mkuu nami nakutafuta inbobo
 
Ushwenu wakuu, akapige usaili ama apotezee? Maana yupo mkoani,inabidi asafiri kuja Dar, na chance ya kupata naona ni ndogo saana,Endapo wote 74 watahudhuria
Daaah mkuu umenikumbusha mbali kidogo...

Mwaka jana hali ilikua mbaya sana, pesa hakuna ajira hakuna...

Kama zali ajira zikatoka, mbaya zaidi nikawa sina ela ya nauli nikachukue cheti chuoni... Nikawaita madogo wanishauri na tuangalie cha kufanya... Nikawaambia sinta apply maana nafasi ni chache...

Walichojibu nikabaki mdomo wazi... Ndan ya siku mbili ela ikapatikana nikaenda chuo kuchukua cheti na kuapply...

Matokea yakatoka nikiwa nimechaguliwa kwa ajili ya interview...

Kweli nikaenda nikafanya... Mwezi wa pili mwaka huu matokeo yakatoka... Nikawa nimechaguliwa kuanza kazi...

Japo nilipanga nisiombe kabisa je nisinge apply ningepata kazi? Nisingeenda kwenye interview ningepata kazi??

Anyways, niko kazini napiga salari kama kawa...

Nakushauri kama una uwezo nenda... Try hata ukishindwa hutajilaum kwa sababu you tried!!
 
Aende akajaribu bahati....asisubili nafac ya pekee# wasomi wamekuwa meng sana
 
Dah, hongera mkuu. kwenye short listed mliitwa wangp? Nafasi zilikuwa zinahitajika ngap
 
Nafasi 4 nyingi hivoooo,,,

nilishawahi kupiga usaili pale watu 100 nafasi 1 tu, nikatoboa ile written asee sijui hata nilitoboaje palee pepa ngumu, oral nikapigwa chini..
 
Back
Top Bottom