Utumishi vipi tutegemee daraja mwezi huu au porojo?

mbudunge

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
1,735
1,085
Hii serikali nilikuwa naielewa sana nikiaminishwa kuwa kufanya kazi na kutokuhoji ni uzalendo, sawa mimi mzalendo.

Mama amesema tupandishwe madaraja, sasa tupewe mrejesho na ofisi ya utumishi wamefikia wapi? Je, tutegemee au porojo pro max?

Hali mbaya sana watumishi wengi wanateseka na kufanya kazi kinyonge sana.. utumishi janja janja office leteni mrejesho asee
 
Back
Top Bottom