Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,989
- 173,588
Hahahahah akagoma kuweka mpunga mezani?Sure ndugu yangu nilimpa hyo connection ya TRA akagoma shauri yake huko
Hahahahah akagoma kuweka mpunga mezani?Sure ndugu yangu nilimpa hyo connection ya TRA akagoma shauri yake huko
List iko wapi?Angalia list ya majina walioenda oral majina ya wazazi wao a.k.a ubini wao utajua ni kwanini oral lazima iendelee no matter what.
Tu ya wanyonge ndio hio mzee.
Ila dogo anaumia bora lisingevuja angejua amepambana kwa haki.Dogo nafasi 8 usaili mkaitwa 10,000 hapo uwezekano wa wewe kupata hiyo kazi ni 8/10,000 hata kama paper lisingevuja.
Fanya mambo mengine.
It was free akagoma kwenda idodomiyaHahahahah akagoma kuweka mpunga mezani?
Free kwamba angekuwa miongoni mwa wale watano😅??? Au free lift na malaziIt was free akagoma kwenda idodomiya
😄😄😄 hapo hapo ubakaji lazima uendelee tu.Eeh wabongo si watu wa kulalama bila vitendo! Huwezi kusema unabakwa na mwenye nyumba kisha unaendelea kuvumilia tu huo unyanyasaji😅 na miguu unayo na mikono!
mizee imekamata nafasi na haitaki kuachia ngazi hata kwa ndumba wao wanakomaa tu
List gan tena waungwana...List iko wapi?
😄😄😄 itakua lift,atakua hajaona majina ya vizito pale.Free kwamba angekuwa miongoni mwa wale watano😅??? Au free lift na malazi