kelvinkipeta
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 108
- 11
Najua mnachelewa kutupia watu waliopita interview ya dec 8 coz mnachakachua ili muwaweke watoto wenu na shangazi zenu.koz toka asubuhi ya leo nyie mnazingua tu.wekeni watu kama vip waibukie plan b,,,,mjini hapa watu tunamambo mengi.watu wameshinda internet cafe leo.jipangeni bwana nyie vp