Utumishi mlikuwa na lengo gani kwa watahiniwa?

Wakuu Kwema?

Mimi kwa Sasa niko Dodoma kikazi, mnamo ijumaa Usiku alinipigia Jamaa yangu mmoja akaniambia mdogo wake kaja Dodoma kufanya Interview lakini kakosa pa kulala, hivyo anaomba nimu accommodate sababu kashatafuta chumba kakosa. Kwakua alienipigia ni Mshikaji wangu sana nkaona isiwe tabu, dogo atapata pa kulala na sehemu za Monde, Nyama Choma, na hata mambo mengine yale akitaka namuonyesha tu.

Dogo akafika saa nane usiku kachoka hoi anadai kadandia lift kaunga gari mbili mpaka pale. Akadai mtiti wa watu aliouacha Mbezi Stand ulikua sio wa kawaida, abiria wanapanda Saratoga wanalipishwa nauli mpaka 35,000/- wakati ki uhalali ni 20,000/- tu. Wengine barabaran wanasubiri Gari za lift.

Dogo akazidi kudai ashazunguka sana vyumba hakuna, eti kuna mpaka wadada waliokua wakilala kwenye vyumba vya wanaume ambao hawakua wao.

Yaan mtu anasikia mdada anaulizia mapokezi kuhusu chumba anatoka anamwambia mdada waunganishe tu nguvu hata wanaweza kupiga discussion usiku. Yaliyoendelea kwenye hizo "discussion" za kustukizana mie sikuwepo.

Asubuhi nkasema nimpeleke dogo huko Udom sababu Usafiri ulikua wa tabu Sana na ilikua Saturday sikua na mishe zingine. Njiani karibu na Njia Panda ya Social foleni ilikua ni kubwa ki Dodoma Dodoma, lakini tulifika. Nilichogundua wageni walikua ni wengi kwa kumbi zilizokua zikifanyia mitihani, wengi wao waliishia kulipia bodaboda mara mbili mbili wakati wanatafuta kumbi husika walizopangiwa. Kumbi zilikua hata 20 na zingine ziko umbali hata wa kutumia Gari au bodaboda.

Pale Udom kwa sasa chuo kimefungwa. Hakuna kantini, hakuna duka wala kiosk. Watu wametoka makwao (guest houses/lodges) toka alfajir hawajala wala kunywa chochote. Hata ukisikia kiu unafanya tu kumeza mate. Angalau kuishi kwangu Dom nafaham vijiji vya jirani na chuo hivyo dogo wake mshikaji nikampelekea wanapaita Nong'ona baada ya pepa ya Kwanza. Wengine niliona wakipiga mihayo tu, kadhaa nkatoka nao wengine wachache nkafanya kuwaambia tu.

Nje ya vyumba vya mitihani tahadhari ya Corona haikuwepo. Distance ya 1meter kati ya mtu na mtu haikuwepo Kabisa. Sio kwenye kusubiri tu, hata mistari ya foleni ya kukaguliwa hakukua na hii tahadhari. Ni kama mkazo uliwekwa kwenye barakoa tu, sio distance maintaining.

Kisha akaingiapepa ya pili, then tukarud town. Usafiri ulikua shida Sana, watu walipanda mpaka Toyo/Guta kurud mjini. Nilichukua kadhaa, wajawazito wawili na mmoja Dogo alisema anamjua wamemaliza nae. Kuhusu ugumu wa mtihani hilo namuachia dogo Mwenyewe ila watu walipata tabu kweli.

Lakina labda tufanye hesabu kidogo, Dogo anasema pepa ya Kwanza aliofanya waliitwa around 9,000 na ya pili hivyo hivyo nazan, tukiweka assumption kwamba wa huku ndio wa kule basi tuseme walikua hao hao 9,000. Na labda 2,000 hawakuja. Kwa ngazi ya Diploma (Wale Assistants) labda nao 3,000 hivi approximately. Hiv kweli Dodoma ina Guest houses za kutosha watu 10,000?? Guest/Lodge moja ikichukua wageni 10 basi zitahitajika guests 1,000 kubeba huu umati, zipo kweli hizi hapa Dodoma?

Dogo alihitajika kurudi jana,gari hakuna zimejaa. Sema kuna mdau mwenzangu hapa Job alikua anaenda Dar na Private nikamuombea lift. Dogo anasema jana njiani alikutana na watu wengi tu wakisimamisha magari kuomba lift. Jamaa aliekua nae alibeba watatu kwa 30,000 each. Mwenzake aliemuona kule Udom ali book na return kumbe.

Naandika huu uzi nikijiuliza swali moja tu, why ilikua lazima kuwajaza watu wote hawa Dodoma? Hakukua na uwezekano wa tume kutumia office zake za zonal? Mbona wakati tume Iko Dar es Salaam wale wa mikoani walishawahi kufanyia mitihani huko waliko? Si ni hata bas mngewaita Dodoma kipindi cha Oral wakiwa wameshachujwa wamebaki wachache? Ni Ubinafsi gani kwa wao kuokoa Gharama huku wakiwatesa watahiniwa kiasi kile?
Umetumia akili yako vizuri sana kuhoji jambo hilo. Hapa ndipo unajiuliza hivi elimu zetu hizi zina msaada gani katika kutawala mazingira yetu? Kwanini uite watu 10000 labda kwa nafasi chini ya 400? Lakini kama walitaka kuwaita wote 10000, why wasingetumia zonal centres kwa mujibu wa address za waombaji au wasingewaita kwa awamu ya watu walau 1000 per day? Halafu watu wandhindwa nini kuwapa taarifa za logistics mapema kupitia mawasiliano yao? Kwanini mtu mweusi hata akisoma anakuwa mjinga tu?

Kwa hakika bado sijajua mtu mweusi (kwa ujumla wait) ana shida gani lakini?
 
Wakuu Kwema?

Mimi kwa Sasa niko Dodoma kikazi, mnamo ijumaa Usiku alinipigia Jamaa yangu mmoja akaniambia mdogo wake kaja Dodoma kufanya Interview lakini kakosa pa kulala, hivyo anaomba nimu accommodate sababu kashatafuta chumba kakosa. Kwakua alienipigia ni Mshikaji wangu sana nkaona isiwe tabu, dogo atapata pa kulala na sehemu za Monde, Nyama Choma, na hata mambo mengine yale akitaka namuonyesha tu.

Dogo akafika saa nane usiku kachoka hoi anadai kadandia lift kaunga gari mbili mpaka pale. Akadai mtiti wa watu aliouacha Mbezi Stand ulikua sio wa kawaida, abiria wanapanda Saratoga wanalipishwa nauli mpaka 35,000/- wakati ki uhalali ni 20,000/- tu. Wengine barabaran wanasubiri Gari za lift.

Dogo akazidi kudai ashazunguka sana vyumba hakuna, eti kuna mpaka wadada waliokua wakilala kwenye vyumba vya wanaume ambao hawakua wao.

Yaan mtu anasikia mdada anaulizia mapokezi kuhusu chumba anatoka anamwambia mdada waunganishe tu nguvu hata wanaweza kupiga discussion usiku. Yaliyoendelea kwenye hizo "discussion" za kustukizana mie sikuwepo.

Asubuhi nkasema nimpeleke dogo huko Udom sababu Usafiri ulikua wa tabu Sana na ilikua Saturday sikua na mishe zingine. Njiani karibu na Njia Panda ya Social foleni ilikua ni kubwa ki Dodoma Dodoma, lakini tulifika. Nilichogundua wageni walikua ni wengi kwa kumbi zilizokua zikifanyia mitihani, wengi wao waliishia kulipia bodaboda mara mbili mbili wakati wanatafuta kumbi husika walizopangiwa. Kumbi zilikua hata 20 na zingine ziko umbali hata wa kutumia Gari au bodaboda.

Pale Udom kwa sasa chuo kimefungwa. Hakuna kantini, hakuna duka wala kiosk. Watu wametoka makwao (guest houses/lodges) toka alfajir hawajala wala kunywa chochote. Hata ukisikia kiu unafanya tu kumeza mate. Angalau kuishi kwangu Dom nafaham vijiji vya jirani na chuo hivyo dogo wake mshikaji nikampelekea wanapaita Nong'ona baada ya pepa ya Kwanza. Wengine niliona wakipiga mihayo tu, kadhaa nkatoka nao wengine wachache nkafanya kuwaambia tu.

Nje ya vyumba vya mitihani tahadhari ya Corona haikuwepo. Distance ya 1meter kati ya mtu na mtu haikuwepo Kabisa. Sio kwenye kusubiri tu, hata mistari ya foleni ya kukaguliwa hakukua na hii tahadhari. Ni kama mkazo uliwekwa kwenye barakoa tu, sio distance maintaining.

Kisha akaingiapepa ya pili, then tukarud town. Usafiri ulikua shida Sana, watu walipanda mpaka Toyo/Guta kurud mjini. Nilichukua kadhaa, wajawazito wawili na mmoja Dogo alisema anamjua wamemaliza nae. Kuhusu ugumu wa mtihani hilo namuachia dogo Mwenyewe ila watu walipata tabu kweli.

Lakina labda tufanye hesabu kidogo, Dogo anasema pepa ya Kwanza aliofanya waliitwa around 9,000 na ya pili hivyo hivyo nazan, tukiweka assumption kwamba wa huku ndio wa kule basi tuseme walikua hao hao 9,000. Na labda 2,000 hawakuja. Kwa ngazi ya Diploma (Wale Assistants) labda nao 3,000 hivi approximately. Hiv kweli Dodoma ina Guest houses za kutosha watu 10,000?? Guest/Lodge moja ikichukua wageni 10 basi zitahitajika guests 1,000 kubeba huu umati, zipo kweli hizi hapa Dodoma?

Dogo alihitajika kurudi jana,gari hakuna zimejaa. Sema kuna mdau mwenzangu hapa Job alikua anaenda Dar na Private nikamuombea lift. Dogo anasema jana njiani alikutana na watu wengi tu wakisimamisha magari kuomba lift. Jamaa aliekua nae alibeba watatu kwa 30,000 each. Mwenzake aliemuona kule Udom ali book na return kumbe.

Naandika huu uzi nikijiuliza swali moja tu, why ilikua lazima kuwajaza watu wote hawa Dodoma? Hakukua na uwezekano wa tume kutumia office zake za zonal? Mbona wakati tume Iko Dar es Salaam wale wa mikoani walishawahi kufanyia mitihani huko waliko? Si ni hata bas mngewaita Dodoma kipindi cha Oral wakiwa wameshachujwa wamebaki wachache? Ni Ubinafsi gani kwa wao kuokoa Gharama huku wakiwatesa watahiniwa kiasi kile?
😂😂😂Wewe bana ni mwanafunzi wa UDOM una pretend to be somebody else.... Ni kweli kulikua na interviews za hao watu lakini the rest of your story ni uongo mana coincidences ni nyingi mno
 
Mimi ni mhanga,umeongea ya ukweli Kabisa yani..
Ile asubuhi tuu kupata venue nimetumia 20k Kwa ajili ya boda tuu yani.
Dodoma was not ready for us.
Mtafutage wahitimu au wanafunzi wa UDOM wawape logistics jamani.... 20k unatumiaje kwa ajili ya Boda??? Kutoka college moja kwenda nyingine minimum buku amekomaa sana buku jero
 
😂😂😂Wewe bana ni mwanafunzi wa UDOM una pretend to be somebody else.... Ni kweli kulikua na interviews za hao watu lakini the rest of your story ni uongo mana coincidences ni nyingi mno
Ili iweje Sasa?
Naomba tu nisikujibu sababu haitakusaidia wewe wala Mimi.
 
Hivi yale matokeo sijayasikia teeena au wameamua kuwapa vema wale waliokuwa na pepa
 
Back
Top Bottom