Utumishi mjichunguze kuhusu uadilifu wa kazi yenu,baadhi yenu sio waaaminifu

Dec 12, 2012
69
14
Jamani wanajamii Forum leo nimeona nifikishe kilio haya malalamiko kwa Wahusika SECRETARIAT YA AJIRA,inaonekana baadhi ya watumishi kaitka kitengo hicho sio waaminifu hata kidogo kwani katika mtihani wa mchujo uliofanyika tarehe 8-12-2012 pale Duce unasemekana uliliki kwani kuna mtu aliuliza maswali kabla ya mtihani ambayo ndio yale yale Yaliyomo kwenye ule mtihani wa COOPERATIVE OFFICER.Hali hii ilipotea ila kwa sasa imeanza tena ,jamani mbona hawa watu hawaeleweki wanakua kigeugeu,walianza kufanya vizuri na tulianza kuwasifu sasa wameanza tabia mbaya ya kulikisha mitihani.Badilikeni na Katibu achukue hatua ya haraka maana hii ni kashfa afanye uchunguzi wa haraka ili asiendelee kuharibu.
 
sasa wewe mwanandugu uliyemlalamishi kiasi hiki!si upeleke hayo malalamiko ofisini kwao
pia wametoa email,kwa mtu yeyote ambaye anahisi kuonewa ukishitaki hapa jf sio sehemu sahihi sana!

au labda unahoja zako binafsi za kuleta uchonganishi
 
tena kajoin leoleo kupost hii habari yake...kama hujapata chance kijana kuwa mpole subiri next time usichafue watu bila evidence...
sasa wewe mwanandugu uliyemlalamishi kiasi hiki!si upeleke hayo malalamiko ofisini kwao
pia wametoa email,kwa mtu yeyote ambaye anahisi kuonewa ukishitaki hapa jf sio sehemu sahihi sana!

au labda unahoja zako binafsi za kuleta uchonganishi
 
Penye wengi kuna mengi.suala la kulikisha mtihani unaweza tu ukakuta kuna mtumishi panye ana demu wake ambaye naye alikuwa anafanya interview akaamua amuibie kakaratasi kamoja ili asije akajikuta akiwa anang'aa sharubu .hata vyuoni kuna tabia ya maprofesa kuwagegeda wanafunzi halafu wakiwa hukohuko wanatoa paper kama zawadi.hata hivyo sasa hivi sekretarieti wamejitahidi kweli.sasa hivi wanatuma mpaka sms.mimi jana wamenitumia sms kunijulisha kwamba nimeshindwa interview ya tarehe 8/12/2012.kwa hiyo nijaribu teana.safi!
 
ukishindwa ni lazima ujenge hoja ya kudhuluiwa, lakin si unajua utumishi ni binadamu kama wewe, je wewe ukipata hiyo kazi utakuwa mwaminifu kiasi gani, nilikuwa naona kuna umuhimu wa kunyonga wala rushwa wote
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom