RUDVANNESTROOY
Member
- Dec 12, 2012
- 69
- 14
Jamani wanajamii Forum leo nimeona nifikishe kilio haya malalamiko kwa Wahusika SECRETARIAT YA AJIRA,inaonekana baadhi ya watumishi kaitka kitengo hicho sio waaminifu hata kidogo kwani katika mtihani wa mchujo uliofanyika tarehe 8-12-2012 pale Duce unasemekana uliliki kwani kuna mtu aliuliza maswali kabla ya mtihani ambayo ndio yale yale Yaliyomo kwenye ule mtihani wa COOPERATIVE OFFICER.Hali hii ilipotea ila kwa sasa imeanza tena ,jamani mbona hawa watu hawaeleweki wanakua kigeugeu,walianza kufanya vizuri na tulianza kuwasifu sasa wameanza tabia mbaya ya kulikisha mitihani.Badilikeni na Katibu achukue hatua ya haraka maana hii ni kashfa afanye uchunguzi wa haraka ili asiendelee kuharibu.