Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 416
Naomba wale hasa maafisa utumishi serikalini mnambie kama utumishi makao makuu au Hazina wanaweza kumterminate mtumishi wa umma kwenye payroll ya serikali bila afisa utumishi wa kituo cha kazi cha mtumishi huyo kujua...
Mimi nimeingia payroll tarehe 1-6-2016 baada ya kuwa nimepata kibali cha kutumia cheki namba ya zamani bada ya hapo katikati kuacha kazi
Lakini kama mnavojua tarehe13-6-2016 ulitoka waraka wa utumishi ukisitisha mambo kadhaa
Ninachoshangaa hr wangu kituoni alinambia tayari mchakato upo kamili na mwisho mwezi huu ningelipwa ila akanambia kwa sababu ya waraka ntalipwa mshahara wa ajira ya zamani na sio wa kituo nilipo sasa....Nkakubali
Mishahara ya watumishi wa umma ni wiki sasa tangu walipwe ila mimi sijaona kitu...
Juzi nimempigia simu akanambia nisubiri aangalie system status yangu ikoje....kama ni full time au terminated kwa sasa...Sasa najiuliza hilo lawezekana ukaingizwa au kutolewa payroll bila hr wako kujua