UTUMISHI: Hakuna nyongeza ya msahahara kwa sasa, tamko la Rais bado linafanyiwa kazi

Ha ha ha haaaaa,,, sisi matumishi ya umma nyoko zetu wacha tukome!! Tena namwomba Rais aangalie hata uwezekano wa kupunguza mishahara, kuna watu na vi-diploma na vi-cheti wanachukua mpaka milioni na ushee, huu mshahara sio wao kwa kweli. Mwenye diploma na certificate walipwe laki 3 tu zinawatosha hata kama amaekaa muda mrefu kazini. Punguza mshahara baba huu umewazidi kimo hawa!! Kwa jinsi mitumishi ya umma ilivyombumbu 2019 itaongezwa elfu 20 itapiga kelele za kushangilia hiyoooo!!! Nyoko kabisa wacha tukomeeeee!! Magu,, tunyoooooooshe baba mpaka tushike adabu!!
 
Na bado hela ya Mwenge wanachangia watumishi.

Bodi ya mikopo wanaongezewa makato bila makubaliano yao.

Bure ukawe mtumwa Somalia kuliko kuwa mtumishi wa umma.

Shikamoo Chattle master.
 
Fanyeni kazi kwa mshahara huo huo ninyi watumishi wa umma msioweza kujiajiri.
Magufuli usiongezea mshahara peleka fedha kwenye reli ya kisasa na bwawa la umeme la Rufiji.
Usibabaishwe na wafanyakazi wako hata usipoongeza mshahara hawana pa kwenda watabaki kulia lia mpaka wanastaafu.

Post sent using JamiiForums mobile app
we ukija ninapofanya kazi nakupiga sindano unapitiliza

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Katibu mkuu wizara ya utumishi au wizara ya uhakiki watumishi wa umma ??

Post sent using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Dr.Ndumbaro amesema nyongeza ya mshahara iliyotangazwa na rais haitaongezwa kwa sasa kwa kuwa bado inafanyiwa kazi.

Katibu Mkuu alizungumza haya wakati anatoa ufafanuzi juu ya kurejeshwa kazini kwa watumishi waliokata rufaa kutokana na vyeti feki.

MY TAKE
Watumishi wa umma muungeni mkono Rais kwa kufanya kazi, kulilia nyongeza ya mshahara ni kumkwamisha Rais kutumikia watanzania masikini (Natania tu)
Sasa unatania nini wakati huo ndio ukweli.
Sisi wafanyakazi waaminifu tuaendelea kumwunga mkono mheshimiwa Rais.
Tunaendelea kuchapakazi kwa juhudi na maarifa yote, tunatambua kuwa siku moja hali ya uchumi itakapo imarika tutaongezewa mishahara kama kawaida.
Tunajua kuwa Serikari inathamini juhudi zetu katika ujenzi wa taifa ila uchumi wa nchi bado haujatengemaa kwa sasa.
Sisi tutimize wajibu wetu wa kuchapa kazi.

HAPA NI KAZI TU.
 
Back
Top Bottom