Utumiaji vibaya wa silaa za Moto kwa Vijana wa Arusha jeshi la polisi Mnajua Hilo

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Hapa ni moja wa vijana wa Arusha kwa Jina la Tale Au akijulikana kama Bob Tale akiwa anachezea Bastola mbele ya watu mithili ya simema ambayo ni hatari sana swali je jeshi la polisi ni nani anawapa hawa vijana hizi silaa?
 

Attachments

  • 1085173_579222072120159_597393384_o.jpeg
    1085173_579222072120159_597393384_o.jpeg
    56.7 KB · Views: 153
Huyu jamaa ni yule ana ofisi ya Mpesa next to Keny Garden?Anastahili kuchukuliwa hatua a kisheria
 
Hapa ni Tembo Club kama sikosei....Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameshasitisha kutoa vibali vipya vya kumiliki silaha hadi uhakiki ukamilike
 
Ni crime mtu kupiga picha akiwa na silaha yake anayoimiliki kihalali?!?!
Na kwanini umeconclude mapema hivyo mbona picha inasema tofauti na ulicho kiandika hapa!?!?
Umeona hapo nimatumizi sahihi ya silaa? Shirikisha ubongo ccm wameharibu vijana sana
 
Back
Top Bottom