Bongo mambo kama haya tutayaona lini kwenye miji yetu?
nimesikia lkn ngoja tusubirisoon and very soon, mjomba kesha toa ORDER kama ilivyo kawaida yake zijengwe.
hahahahahahaha....creative, use what u have creatively!!
sio mtu una li-P/UP likubwa unalitumia kwenda ofisini tu na kurudi home.
Ynataka makitikoto yabebwe na nn sasa!
...Teh! teeh! Thanks God..Leo ni furaha dei...