Utumbuaji wa majipu upunguze ugumu wa maisha kwa Watanzania

Mssassou

JF-Expert Member
Jun 17, 2015
1,537
597
Pongezi kwa Serikali ya Magufuli kwa kutumbua majipu kila kukicha,utumbuaji huu wa majipu upunguze ugumu wa maisha kwa watanzania,tunataka kuona bei
ya bidhaa mbalimbali ikishuka ,bei ya sukari ishuke,bei ya sabuni ishuke,bei ya mchele,unga,mafuta ya kula,mafuta ya taa n.k.Bila kupunguza ugumu wa maisha utumbuaji majipu hauna faida kwa watanzania
 
Tupo kwenye mchakato,upembuzi wa awali ukiisha utafuata wa kina,Kisha baraza la mawaziri,litaweka mpango mkakati na kuukabidhi kamati ya mipango iandaliwe jedwali la utekelezaji
Mwisho tutautafutia fedha kwa utekelezaji
VUTENI SUBIRA
 
Pongezi kwa Serikali ya Magufuli kwa kutumbua majipu kila kukicha,utumbuaji huu wa majipu upunguze ugumu wa maisha kwa watanzania,tunataka kuona bei
ya bidhaa mbalimbali ikishuka ,bei ya sukari ishuke,bei ya sabuni ishuke,bei ya mchele,unga,mafuta ya kula,mafuta ya taa n.k.Bila kupunguza ugumu wa maisha utumbuaji majipu hauna faida kwa watanzania
mungu

mungu wa wakristo hajakataza kutumbuliwa majipu. soma zaburi 10, utaona jinsi wanyonge wanavyolalama juu ya ufisadi.
 
mm nataka kuona gharama ya umeme imepunguaa, kwan sasa kuna gesi.
Nataka kusikia bei ya mafuna, sukari, na nafaka zimeshuka.
Kodi za hovyo zinaondolewaa.

Kama sipati mlo wa uhakika, hayo majipu atumbuee na usaa aumezeee, maana tunasikia harufu kali.

Nimechokaa
 
Pongezi kwa Serikali ya Magufuli kwa kutumbua majipu kila kukicha,utumbuaji huu wa majipu upunguze ugumu wa maisha kwa watanzania,tunataka kuona bei
ya bidhaa mbalimbali ikishuka ,bei ya sukari ishuke,bei ya sabuni ishuke,bei ya mchele,unga,mafuta ya kula,mafuta ya taa n.k.Bila kupunguza ugumu wa maisha utumbuaji majipu hauna faida kwa watanzania
Kikwete alikuwa anajenga misingi,Makufuli anatumbua majipu ,mpaka 2025 rais mwinginecakija ndo atapunguza ugum wa maisha
 
mm nataka kuona gharama ya umeme imepunguaa, kwan sasa kuna gesi.
Nataka kusikia bei ya mafuna, sukari, na nafaka zimeshuka.
Kodi za hovyo zinaondolewaa.

Kama sipati mlo wa uhakika, hayo majipu atumbuee na usaa aumezeee, maana tunasikia harufu kali.

Nimechokaa
Hata. Mimi nimechokaaaa euwiiii yelewiiii auwiiii
 
Binafsi sioni faida ya kutumbuliwa hayo majipu hadi sasa,maisha yamezidi kuwa magumu kupita maelezo.
Sijui,ngoja tuone huenda mambo yakawa mazuri,ila yakibakia hivihivi kutakuwa hakuna maana ya utumbuliwaji wa majipu hayo.
Hela ukishika inakimbia fasta ewiww yeuwiiii, auwiiii
 
Mkuu huwezi tegemea bei zishuke kwa sababu:
1. Bidhaa nyingi ziluzopo sokoni kwa sasa zilikwepa kodi kwa namna fulani. Zikimalizika mzigo unaokuja utalipa kodi kamili. Bei nyingi zitapanda.
2. Mara nyingi umenunua bidhaa bila kutozwa kodi husika. Yaani hatoi risiti ya serikali. Hivyo hiyo bei sio halisi. Vifaa vya ukusanyaji kodi vinavyofungwa vitalazimisha wafanya biashara kutoza bei zenye kodi hivyo bei zitapanda.
3. Wafanyabiashara wengi wenye mitaji midogo hawataweza agiza mzigo kama zamani kwani yale makampuni ya clearing na forwarding yaliyokuwa yakiwabeba ama yamefungiwa au utaratibu huo umeshawaogopesha.
5. Kodi zote zikisimamiwa ipasavyo bila kuziongea bidhas zitapanda na sio kushuka.
6. Wafanyakazi wanaendelea kudai hali bora za maisha. Yaani malipo mazuri. Hili linaongeza gharama za uzalishaji na mbebaji ni mlaji.
7. Nk
 
Binafsi sioni faida ya kutumbuliwa hayo majipu hadi sasa,maisha yamezidi kuwa magumu kupita maelezo.
Sijui,ngoja tuone huenda mambo yakawa mazuri,ila yakibakia hivihivi kutakuwa hakuna maana ya utumbuliwaji wa majipu hayo.
Wewe binafsi umebadilika kiasi gani?
Uchaguzi umekwisha sasa ni kazi tu,
Kuna watu bado wanatafuta chokochoko tu badala ya kusimama na kufanya kazi halali.
Badala yake kila siku ni mabandiko tu, mara zanzibar mara ooh majipu... And so and so......

Mabadiliko sio ya miezi mitatu tu, kwani hata mafisadi hawakutumia miezi mitatu kuiba na kuijenga hiyo mifumo anayojaribu kuibomoa bulldozer JPM.
Bali walijijenga kwanza kushika madarakani halafu wakagawana michongo.

Hata baadhi ya walalamikaji humu JF ni wahanga wa majipu au watumwa wao.

Ndio maana kila siku uuuuwiiii tu humu ndani shame on you traitors, mlizoea kubeba vilaptop na kujiita engineers, malipo ya kufuru sasa kumekucha
 
Wewe unaoenakana una nafasi kwenye serekali hii na unaongozwa na tabia ya unafiki na nidhamu ya woga. Watu tunapiga kelele hapa kuhusu suala la umeme ambalo imeonaka hata bungeni kwamba tunalipishwa bei mbaya isivyo halali. Magufuli alikuwa waziri kwenye serekali iliyopita ni kipi kipya kuhusu hili suala la umeme ambalo anashindwa kuchukua hatua? Mafuta yameshuka sana kwenye soko la dunia lakini hapa kupanda imekuwa kizungumkuti kushuka, ni nini kinaendelea nyuma ya pazia? Hili nalo anahitaji miaka kumi kulipatia ufumbuzi wa bei kushuka? Huu utumbuaji wa majipu inakuwa kama ni kutafuta sifa binafsi ambapo sisi wananchi wa kawaida hatuoni faida yake bali wajinga ndio wanaishia kusifia bila kuona impact kwenye maisha yao.

Halafu ngoja nikuambie kitu, kwa mtu aliyekuwa waziri kwenye serekali karibia mbili zilizopita ni nini kipya sana mpaka tumpe muda wa ajabu kutekeleza sera za chama chake cha kuboresha maisha ya wananchi? Ninavyojua anatekeleza ilani ya chama na ilani hiyo haijabadilika sana toka akiwa waziri mpaka sasa, kwa hiyo mnapotuambia tuwe na subira hata kwa mambo yaliyo wazi kama hiyo bei ya umeme na mafuta ni kama mnatuona majuha, ama hatekelezi ilani na sera za chama bali anatakeleza matakwa yake? Kuna mtu humu jukwaani alisema eti fundi anaharibu ratio ya cement na mchanga unasema tumuache fundi mpaka afikie kwenye madirisha ndio tumrekebishe. Acheni hizo jamani.
 
Unaongelea umeme wakati ukijua kabisa serikali iko kwenye umaliziaji wa msongo wa gridi kubwa ya Taifa ambao ni full gas.
Umeniita mnafiki na mjinga wakati hujanionyesha unafiki wangu wala ujinga huo pia.
Jambo hilo pekee linanifanya niachane na wewe kwa sababu matusi si sehemu ya utaratibu wangu kimaisha.

Mimi ni mtanzania wa kawaida na ninaishi kwa kufanya kazi za kujipatia kipato halali bila short cut hata kidogo.
 
Hata sasa umeme upo wala tatizo sio hilo la kuwepo msongo wa grid sijui gas wala nini. Tatizo ni bei tunayouziwa ni ya ulanguzi. Nimekuambia wewe ni mnafiki na una nidhamu ya woga na wala sina mahali nimekuita mjinga bali nimekosoa tabia yako ya kuogopa kuhoji ukweli. Na jingine nililoliongelea ni kushuka kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia lakini hapa nchini bado tunaendelea na bei ya juu, wakati bei ikipanda huko kwenye soko la dunia wiki hiyohiyo hupanda hapa nchini. Hili nalo mbona hujalijibu kwenye kijinasua kwenye hiyo tabia yako niliyokuambia?
 
Tafuteni fursa nyingine za kuwapatia kipato halali, Yale mambo yetu ya mchongo hayapo kwa sasa, ukija kijijini utaona faida ya kutumbua majibu ila ukibaki mjini utaona balaaa
 
Mi naona Hawa wana Lao jambo, maana sisi tulizoea kujipigania tunaziona Fursa zikija kwa kasi, ila wa jomba kila kitu magufuli tu
 
Hata sasa umeme upo wala tatizo sio hilo la kuwepo msongo wa grid sijui gas wala nini. Tatizo ni bei tunayouziwa ni ya ulanguzi. Nimekuambia wewe ni mnafiki na una nidhamu ya woga na wala sina mahali nimekuita mjinga bali nimekosoa tabia yako ya kuogopa kuhoji ukweli. Na jingine nililoliongelea ni kushuka kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia lakini hapa nchini bado tunaendelea na bei ya juu, wakati bei ikipanda huko kwenye soko la dunia wiki hiyohiyo hupanda hapa nchini. Hili nalo mbona hujalijibu kwenye kijinasua kwenye hiyo tabia yako niliyokuambia?
Ngoja mjomba amalize majipu ya bandari kwanza ndio tanesco ifuatie kwa sababu kuu ni kwamba pale tanesco kuna mambo ya kisheria zaidi. (mikataba baina ya serikali na the so called muwekezaji)
Sio mnachombeza Ili JPM aingilie kichwa kichwa Ili mpate loop ya kusemea.

The bulldozer yuko makini
 
Tafuteni fursa nyingine za kuwapatia kipato halali, Yale mambo yetu ya mchongo hayapo kwa sasa, ukija kijijini utaona faida ya kutumbua majibu ila ukibaki mjini utaona balaaa

Hicho kijiji ulichopo wewe pembejeo kama mbolea zimeshushwa bei? Huko madalali wanatoa bei halisi kulingana na gharama halisi ya kilimo husika? Huko kijijini tumekaa sana lakini kwa taarifa yako ukitaka kuwa maskini wa kutupwa kwenye nchi hii kimbilia kilimo. Huko ndio mahali gharama za kulima hazilingani na gharama za kuuzia achia mbali dhahama za kilimo kama mvua/jua kuishia mwilini mwako. Katika sekta isiyopewa kipaumbele na serekali hii basi ni kilimo, bali wakulima ni mtaji wa wanasiasa kutokana na umaskini wa kutupwa unaowakabili.
 
Ngoja mjomba amalize majipu ya bandari kwanza ndio tanesco ifuatie kwa sababu kuu ni kwamba pale tanesco kuna mambo ya kisheria zaidi. (mikataba baina ya serikali na the so called muwekezaji)
Sio mnachombeza Ili JPM aingilie kichwa kichwa Ili mpate loop ya kusemea.

The bulldozer yuko makini

Utetezi dhaifu kabisa, alikuwa waziri hivyo kila kilichokuwa kinafanyika ndani ya baraza la mawaziri anakijua. Uhuni wote uliokuwa ukifanyika anaufahamu vizuri sana. Na isitoshe alikuwepo bungeni wakati bunge likipitisha maazimio kuhusu mitambo kama ya IPTL, anachokosa ni uthubutu tu wa kuchukua hatua kwani bunge limeshamtafunia kila kitu. Matokeo yake anabaki kudeal na mtu mmoja mmoja kwa lugha ya kufurahisha wajinga eti kutumbua majipu. Tafakari chukua hatua.
 
Hicho kijiji ulichopo wewe pembejeo kama mbolea zimeshushwa bei? Huko madalali wanatoa bei halisi kulingana na gharama halisi ya kilimo husika? Huko kijijini tumekaa sana lakini kwa taarifa yako ukitaka kuwa maskini wa kutupwa kwenye nchi hii kimbilia kilimo. Huko ndio mahali gharama za kulima hazilingani na gharama za kuuzia achia mbali dhahama za kilimo kama mvua/jua kuishia mwilini mwako. Katika sekta isiyopewa kipaumbele na serekali hii basi ni kilimo, bali wakulima ni mtaji wa wanasiasa kutokana na umaskini wa kutupwa unaowakabili.
Ngoja kidogo mjomba JPM atafika na huko majipu ya pembejeo yatafuatia baada ya haya ya Sasa, it is a matter of time to the honourable JPM to take his big move to the agricultural sector
 
Back
Top Bottom