Utumbuaji wa majipu na mifumo yetu

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Kwa katiba hii iliyopo tutatumbuana mpaka basi. Kwahiyo kama tutaipa kisogo katiba mpya tujue kua utumbuaji utakua kitu cha kawaida sana na wafanyakazi watazoea tu hiyo hali.Wala hili halina ubishi tuendelee kusubiri sana.

Tubadili katiba iliyopo, tupate katiba mpya yenye mifumo imara na dhabiti nchi yetu isonge mbele.
 
0190e8887518673d4c02026815f15d30.jpg
 
Utumbuaji majipu ni kiini macho! Tangu mtumbuaji yeye mwenyewe agawe rushwa kwa wabunge nimepoteza imani nae kbsa
 
Natangu huyu mkuu wa kaya aseme anaipakisogo mchakato wa katiba mpya sina imani naye yeye ni walewale wanaolea mfumo mbovu.
 
Back
Top Bottom