OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,170
- 103,634
Habari wakuu wa kazi?
Kuna uteuzi wa wakurugenzi wa Halmashauri 13 umetangazwa jana. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, uteuzi huo unafanyika kujaza nafasi zilizo wazi.
Ikumbukwe kwamba ni mwezi Julai 2016 tu uteuzi makini wa Rais wetu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli aka JPM alifanya uteuzi wa wakurugenzi wapya. Katika utafiti wangu mdogo ni kwamba nafasi zilizojazwa jana zilikuwa na wakurugenzi walioteuliwa Julai 2016 kama jedwali linavyoonesha.
Halmashauri Aliyeteuliwa Julai Aliyetueliwa Sasa
Wilaya ya Bukoba Mwantumu Dau Abdalaaziz Jaad
Wilaya ya Ukerewe Tumaini Sekwa Shija Frank Bahati
Mji wa Mbulu Anna Philip Mbogo Hudson Kamoga
Wilaya ya Nsimbo Joachim Jimmy Nchunda Mwailwa Pangani
Wilaya ya Mkalama Martin Msuha Mtanda Godfrey Sanga
Wilaya Ulanga Audax Christian Rukonge Yusuph Daudi
Wilaya Nachingwea Bakari Mohamed Bakari Bakari Kasinyo
Mji wa Tarime Hidaya Usanga Elias Nturihungwa
Wilaya Kibondo Shelembi Felician Manolo Juma Ally
Wilaya ya Moshi Emalieza Sekwao Butamo Nuru
Wilaya ya Karatu Banda Kamwande Sonoko Waziri Mourice
Wilaya ya Bagamoyo Azimina A. Mbilinyi Fatuma Omari
SWALI: Je, kuna wakurugenzi hawakuripoti kazini? Mwenye taarifa za kina atuletee. Kwa bahati mbaya sana tangazo la Ndg.Msigwa halikusema ni kivipi nafasi hizo zipo wazi pamoja na kuwa uteuzi wa halamashauri hizohizo ulifanyika Julai 2016.
Kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa Mama Azimina Mbilinyi aliyekuwa DED Bagamoyo alitumbuliwa kwa utendaji mbovu mwezi uliopita. Kwa wale wasio na kumbukumbu labda nitumie tukio kuwakumbusha; ilikuwa kile kipindi cha hukumu ya uchaguzi jimbo la Mlimba ''Suzan Kiwanga'' na Kilombero ''Mh.Asenga''. Na Bi.Hidaya aliyekuwa bosi Mji Tarime aliondolewa baada ya kuteuliwa kimakosa.
Naomba msaada, sina ugomvi na mtu
Orodha ya wakurugenzi wa Halmashauri - TBC.go.tz