Utotoni: Mungu mwenyewe ndiye analinda

jmapunda

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
731
2,923
Unakumbuka au umewahi kusimuliwa nini kuhusu kilichokupata wakati wa utoto ambacho kilisababishwa na utoto wenyewe?

Wengine waliweka mbegu za mahindi puani, wengine walikunywa mafuta ya taa, wengine kumeza hela.

Wewe nini kilikutokea?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom