Utoto Raha: Mkasa gani mbaya ulikupata utotoni na kamwe hutakaa usahau?

Nakumbuka nikiwa binti mdogo,kuna siku mama alikuwa mgonjwa,akanituma nikamwite jirani rafiki yake nimwambie kuwa mama ana shida anaomba uende,nilichoenda kusema ni kuwa "Mama kakwambia hivi kama una shida uende"yule mama alishtuka sana mbona ujumbe umekaa kishari shari.alipoenda kumueleza mama nilipokea kipigo cha paka mwizi.sitasahau.
Nimecheka mpaka nimesusu,,hahaaaaaa
 
Tulienda kupigana pale four star ilipo sasa, tumeweka mstari tayari ngumi ngumi washangiliaji tupo . Mara mmoja wapo kazimia kabisa tulikimbizana hatari.Sina hamu na ugomvi wa hovyo hovyo .
 
Miaka ya 96,97+wakongo walikuwa wapo juu sana,sasa mdingi alinunua tape yake kipind hicho Werrason wanatamba,pasipo yeye kuitumbukiza maaana alikuwa kazini na kipind hicho tunaishi majumba ya Kota,basi mm nilivyorud shule nibandua ile tape na kuweka kwenye radio cassette,ikaaanza kumeza manyuzi kibao mm ilikuogopwa kufuma nilichofanya nikakata harafu nikagundisha na gundi
.Sasa muda wa kazi umeisha amerud home amechukua jmaa zake ili kuja kusikiliza ile tape yake,ile anaweka tape na kuanza kubonyeza play button kama sekunde 40 anashangaaa nyimbo imehama hadi nyimbo ya 4,mmmh akarudisha nyuma bado inaruka.Alichofikiria kwamba mie moja kwa moj nimehusika basi akatafuta bakora safiii,yaaan ile narud tu nimelukiwa km mwiz aiseeee
 
pole sana. nikiwa mtoto, niliwahi kutumwa kwa mama wa jirani, kitu kuhusu human hair! Huko nilikotumwa, nilitamka neno ambalo, yule mama mlengwa akaniingiza ndani, nilichezea mboko za kutosha! Kurudi nyumbani nako, nikala mboko zingine tena!
hujaeleweka kabisa,sasa human hair ulitumwa ya nini? nyie wachawi?
 
Nakumbuka nikiwa binti mdogo,kuna siku mama alikuwa mgonjwa,akanituma nikamwite jirani rafiki yake nimwambie kuwa mama ana shida anaomba uende,nilichoenda kusema ni kuwa "Mama kakwambia hivi kama una shida uende"yule mama alishtuka sana mbona ujumbe umekaa kishari shari.alipoenda kumueleza mama nilipokea kipigo cha paka mwizi.sitasahau.
walah nimecheka ila mama yako alikuwa na mkono mwepesi duuh
 
pole sana. nikiwa mtoto, niliwahi kutumwa kwa mama wa jirani, kitu kuhusu human hair! Huko nilikotumwa, nilitamka neno ambalo, yule mama mlengwa akaniingiza ndani, nilichezea mboko za kutosha! Kurudi nyumbani nako, nikala mboko zingine tena!
jamani mnanivunja mbavu
 
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kumiliki manati,siku hiyo nikakaa uchochoroni kufanya test kusubiri huku nimeivuta Akajitokeza mdogo wangu mmoja nilipoachia ikamkuta tumboni. Dogo alilia watu walishtuka hawakujua kitu gani,mama alipopata habari kilichotokea siwaambii acheni tu.
 
Itakuwa alikulisu!
 
Slim5 njoo umalizie bwana
Kule lock hofu ikanipanda. Hofu pamoja na majuto.

Hofu kwamba sasa napotea. Ikanitanda. Hofu kwamba sintaweza kuhimili mikiki mikiki ya jela.

Mle lock up nlikuta mahabusu wengine. Wakubwa kwa umri. Wakaniuliza imekuaje nikabaka. Nikawaeleza. Police waliponiita kaunta, wakanitisha kuwa dogo unapotea.

Kule home sijui mama Mdogo na "kaka" walikubaliana nini! Ila ninachojua brother alisema anasepa kurudi kwao Makambako, Iringa usiku ule ule. Mama Mdogo akakubali kwa hofu kuwa yule kaka atapotezwa!

Kule kwetu tulipo ilikuwa ni rahisi kufika Mikumi hata kwa Baiskeli. Usiku ule nikiwa ndani kaka alipata watu wakamsindikiza akafika Mikumi. Kutoka Mikumi akatokomea mpaka Makambako. Kifupi ndio ulikuwa mwisho wa kibarua chake!

Asubuhi kulipokucha, mama na mama Mdogo walikuwa kunletea Chai. Nakumbuka ote walikuwa wanabubujikwa na machozi. Nilikuwa bwana Mdogo kwa umri na bwana Mdogo kwa umbo.

Familia na Mama wa yule Bint walianzia Hospital na baadae wakaja police. Walipokuja police wakawakuta akina mama, ndio ktk simulizi mama wa Bint akasema kuwa aliemtenda Bint yake ni yule "kaka yangu" na sio Mimi ambae mpk huo nipo mahabusu!

Yote kwa yote ule msala uliisha asubuhi hiyo hiyo kwa police kuanza kutafuta brother kwa UDI na uvumba! Wasimpate. Mkasa ukanfundisha kutomdhania mtu vibaya.
 
Back
Top Bottom