Utofauti wa magari kati ya New na Old Model

hottest00

Member
Jul 5, 2016
68
49
Habari wana jamvi!!! Mi ni mgeni humu ndani lakini nimeingia na swali, ningependa kujua utofauti gani uliopo kwenye izo model mbili tofauti za gari hasa mwenye uimara kwa aina yoyote ya gari kulingana na jinsi unavyoelewa
 
Karibu sana kwenye jukwaa. Unavoonekana sio Car-man sana, ila nitajaribu kukuelewesha.

Makampuni ya magari (Mfano Toyota ya Japan) wanaweza kutengeneza aina zaidi ya moja ya gari na kuzipa majina. Kwa mfano, Toyota wana magari kama Corolla, Hillux, Hiace, Altezza, nakadharika.

Sasa kila aina ya gari, baada ya muda fulani, kutokana na kubadirika kwa Technology, au baada ya kuona ilo gari kuna tatizo flani common wateja wamekua wakililalamikia, basi hiyo kampuni inarekebisha ilo tatizo na kutoa toleo jipya la ilo ilo gari.

Nadhani hapo utakua umenielewa.

Sasa, lile toleo la zamani ndio Old Model na Toleo jipya ndio New Model.

Ngoja tu assume wewe unapenda mambo ya simu, tutolee mfano: Samsung wana simu inaitwa Galaxy S4. Mwaka uliofuata wakaiboresha wakaiita Galaxy S5. Mwaka ujao tena wakaiboresha zaidi kwa kuongeza baadhi ya vitu na kuiita Galaxy S6. Hivo hivo wakaboresha zaidi wakaiita Galaxy S7. Sasa simu hizo za zamani S4, S5, S6 zote ni Old Model, hafu hii S7 ndio Nee Model. Ila wakitoa Galaxy S8 na hii tunayoiita New Model itakua Old Model.

Au kama wewe mpenzi wa Music. Diamond Platnumz Mond alitoa wimbo akauita My Number one, aliimba peke yake. Akatoa tena akaimba na Davido wimbo huo huo (Remix) akauboresha zaidi. Sasa ule wimbo wa zamani ndio Old Model huu mpya New Model.

Turudi kwenye magari.

Ukitaka kujua zaidi kuhusu gari flani Old Model au New Model, itabidi usome historia ya utengenezaji wa ilo gari. Mfano, Gari X lilianza kutengenezwa mwaka 1994 hadi leo izo gari zinaendelea kutengenezwa. Ila kuanzia mwaka 1994 hadi mwaka 1999 ni generation ya kwanza. Wakaanza kuiboresha kuanzia mwaka 1999 hadi 2004 wakatoa generation ya pili ya ilo ilo gari X. na 2004 hadi 2009 wakatoa mpya tena. Ila ni ilo ilo. 2009 hadi leo hii 2016 generation mpya. Hii ya sasa ndio New Model, za zamani zote ni Old Model.

Lugha nzuri ya kwenye magari sio Old Model na New Model, kwasababu magari yaliyopitia generations nyingi, ukisema old model mtu anashindwa kukuelewa old model ipi? Ndio maana inabidi ujifunze kusema generation. Mfano,'nataka kununua Gari Z second generation. Mtu anaelijua gari Z anajua kua second generation ilikua kutoka mwaka 2001 hadi 2011 (Huo mfano).
 
ka

Lugha nzuri ya kwenye magari sio Old Model na New Model, kwasababu magari yaliyopitia generations nyingi, ukisema old model mtu anashindwa kukuelewa old model ipi? Ndio maana inabidi ujifunze kusema generation. Mfano,'nataka kununua Gari Z second generation. Mtu anaelijua gari Z anajua kua second generation ilikua kutoka mwaka 2001 hadi 2011 (Huo mfano).[/QUOT mkuu umempa shule nzuri sana
 
Karibu sana kwenye jukwaa. Unavoonekana sio Car-man sana, ila nitajaribu kukuelewesha.

Makampuni ya magari (Mfano Toyota ya Japan) wanaweza kutengeneza aina zaidi ya moja ya gari na kuzipa majina. Kwa mfano, Toyota wana magari kama Corolla, Hillux, Hiace, Altezza, nakadharika.

Sasa kila aina ya gari, baada ya muda fulani, kutokana na kubadirika kwa Technology, au baada ya kuona ilo gari kuna tatizo flani common wateja wamekua wakililalamikia, basi hiyo kampuni inarekebisha ilo tatizo na kutoa toleo jipya la ilo ilo gari.

Nadhani hapo utakua umenielewa.

Sasa, lile toleo la zamani ndio Old Model na Toleo jipya ndio New Model.

Ngoja tu assume wewe unapenda mambo ya simu, tutolee mfano: Samsung wana simu inaitwa Galaxy S4. Mwaka uliofuata wakaiboresha wakaiita Galaxy S5. Mwaka ujao tena wakaiboresha zaidi kwa kuongeza baadhi ya vitu na kuiita Galaxy S6. Hivo hivo wakaboresha zaidi wakaiita Galaxy S7. Sasa simu hizo za zamani S4, S5, S6 zote ni Old Model, hafu hii S7 ndio Nee Model. Ila wakitoa Galaxy S8 na hii tunayoiita New Model itakua Old Model.

Au kama wewe mpenzi wa Music. Diamond Platnumz Mond alitoa wimbo akauita My Number one, aliimba peke yake. Akatoa tena akaimba na Davido wimbo huo huo (Remix) akauboresha zaidi. Sasa ule wimbo wa zamani ndio Old Model huu mpya New Model.

Turudi kwenye magari.

Ukitaka kujua zaidi kuhusu gari flani Old Model au New Model, itabidi usome historia ya utengenezaji wa ilo gari. Mfano, Gari X lilianza kutengenezwa mwaka 1994 hadi leo izo gari zinaendelea kutengenezwa. Ila kuanzia mwaka 1994 hadi mwaka 1999 ni generation ya kwanza. Wakaanza kuiboresha kuanzia mwaka 1999 hadi 2004 wakatoa generation ya pili ya ilo ilo gari X. na 2004 hadi 2009 wakatoa mpya tena. Ila ni ilo ilo. 2009 hadi leo hii 2016 generation mpya. Hii ya sasa ndio New Model, za zamani zote ni Old Model.

Lugha nzuri ya kwenye magari sio Old Model na New Model, kwasababu magari yaliyopitia generations nyingi, ukisema old model mtu anashindwa kukuelewa old model ipi? Ndio maana inabidi ujifunze kusema generation. Mfano,'nataka kununua Gari Z second generation. Mtu anaelijua gari Z anajua kua second generation ilikua kutoka mwaka 2001 hadi 2011 (Huo mfano).

Nimekupata broo asantee, kuna kitu nimejifunza
 
Habari wana jamvi!!! Mi ni mgeni humu ndani lakini nimeingia na swali, ningependa kujua utofauti gani uliopo kwenye izo model mbili tofauti za gari hasa mwenye uimara kwa aina yoyote ya gari kulingana na jinsi unavyoelewa
MERCEDESBENZC-Klasse-W203--1417_3.jpg
Mercedes_C-Klasse_%28W204%29_Elegance_front.jpg
 
Back
Top Bottom