Utofauti wa kupandisha hamu ya sex kati ya ME & KE kisaikolojia

Wasalaam ! Wakuu nimeona nilete haka ka-uzi pengine utakuwa msaada kwa baadhi yetu tunao hangaika kujuwa mwanzo wa kuwapagawisha partners wetu.

Kuna mengi sana lakini tuone haya machache kwa leo!

Kisaikolojia ME anahitaji kuwa amekamilika katika kuona (right visual clues) ili awe activated kufanya sex, yaani mwanzo wa sex activation ya ME ni macho na kile anachokiona kwa KE.

Kwa KE yeye anahitaji uwepo wa sababu za kisaikolojia (psychological factors). Hii ina maana kwamba ME hupandisha mzuka kwa kuona, KE yeye anapitia process nyingi akilini hadi kuwa activated kufanya sex.

Kwa kimombo ni kwamba "women need to be psychologically turned on as much as men need to be biologically turned on"

Ukitaka kuthibitisha hili jiulize, kuna vitabu na machapisho mengi sana yanayo elezea namna ya ME kumuandaa KE kuliko machapisho ya KE kumuandaa ME hii ni kwa 7bu ME haitaji kitu kingine zaidi ya kujiridhisha kwa kuona (sight) na KE anahitaji kutekwa kiakili zaidi kuliko kimvuto.

Ingawa kuna KE wanao feel sexual attraction kwa kuwaona ME walio wapenda physically kwa kuwaangalia, saikolojia inasema hii huletwa zaidi na kumbukumbu ya sex aliyowahi kukutana nayo kabla, halafu fikra zikamsafirisha hadi kwa huyo anaemuona kwa muda huo maana wao wako active sana kiakili kuhusu sex kuliko ME.

HIVYO "ME" UNAPOKUWA UNAMPA MAMBO "KE" HAKIKISHA UNAELEWA ANAHITAJI KUFANYIWA NINI KWANZA ILI AINGIE ULINGONI AMELOWA.AKILI NA KUNAKO.

Nawasilisha!
Ndivyo ilivyo
 
Ke needs reason, while me needs space
 
Kwa kimombo ni kwamba "women need to be psychologically turned on as much as men need to be biologically turned on"

Ndo maana kuna mdada huwa anakuwa kama anamaliza kabisa nikiwa nazungumza naye mambo ya namna ya kutiana, styles, touches etc.Kiasi kwamba muda naweka la yuyu ni dakika kadhaa anaanza piga kelele nakojoaaaaaaa
 
Kwa kimombo ni kwamba "women need to be psychologically turned on as much as men need to be biologically turned on"

Mwenye masikio na asikie, ila tu hapo kwenye psychology tuna mengi sasa money inclusive kwa leo umeeleweka nisiharibu
Dada eve shkamoo
 
Back
Top Bottom