Utofauti upi umewahi kuushuhudia kati ya anaepata ajira inayolipa vizuri akiwa bado kijana na yule ambae umri umeenda kidogo?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,014
Kuwahi kumaliza chuo sio kuwahi kuajiriwa achilia mbali kuajiriwa sehem inayolipa mshahara safi na marupu rupu kibao.

Kuna wengine wanamaliza vyuo wana 22, ajira wanaingia taasisi kubwa wakiwa na 23, wengi wao niliowashuhudia pesa nyingi ilitumika zaidi kwenye magari.

Wengine wanamaliza wana miaka hio hio lakini ajira mtu anakuja kuipata ana 33 huko, hawa wengi wao wanakuwaga na displini kwenye matumizi
 
It depends na familia ulipotoka viz a viz umri wa kuajiriwa +hulka binafsi.

Unaweza kukuta mtu ameajiriwa mshahara mkubwa let's say not less than 2.5 take home kama mshahara wa kwanza akiwa kijana wa 23 na akapewa na gari plus health insurance na mzaga mengine kama nyumba nk Ila unashangaa pesa ikaliwa na ujana, akaishia kununua lavish items ambazo ni more perishable kama makochi ya mamilioni, pombe za gharama, nguo, perfume, outings zisizo na umuhimu na expensive places na expensive drinks with a lot of women and unscrupulous friends. Hii ataishi sababu ya huo mshahara na atasahau kuinvest hata akinunua kiwanja hawezi kujenga au kuinvest pesa nyingi sababu anahitaji pesa kufanya manunuzi ya lifestyle yake.

Sasa bahari nzuri kama kwao ameachiwa Mali ya kutosha huyo usishindane nae kabisa. Ila wapo wa umri huo and they make it easy Ila asikumbie mtu ujana, + kujitegemea + pesa nyingi + wanawake wa mjini = huwezi kuchomoka hata kidogo maana ujana maji ya Moto aisee.

Pia, kupata kazi nzuri wakati upo mid 30's nayo Ina challenges maana unakuwa umeshajivika mjukumu ya kuoa na unakuta unasomesha pia, so hiyo kazi itakufanya utatue Mambo mengi zaidi sababu pesa itatumika kufanya mambo ya msingi na yatakuwa makubwa kwa muda mchache utakuja kujua faida yake.

Utajiona kama umechelewa kushinda wenzio na itakufanya uende Kasi zaidi ili uwakute au kuwapita agemates wako. Sasa hapo omba Mungu uwe umepata mwanamke ambaye hakusumbui kichwa otherwise utaamua kuwa mlevi tu na kugonga akina Kajala and the likes maana haukupata muda wa kuwagonga ukiwa 20's😃😃
 
Hayo ndo be matumiz ya pesa
 
Una no ya kajala mkuu?
 
Una no ya kajala mkuu?
Hahaha sina mzee Kuna mbegu inaniuziaga hao watu sitakgi mazoea nao tulikutana it's only for business kwisha maana ukiwaendekeza wanaomba hela sana wasumbufu hawafanyi kazi yeyote kazi kudanga tu.

Ilijiingiza kichwakichwa unaweza kuoa uishi nae sasa alimaliza shida anahamia kwa mwingine mzee. Hao piga mti a Hana nae, siku ukiwa na hela muite mdinye then asepe.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom