UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME

ZOPPA

JF-Expert Member
Jan 20, 2017
2,691
2,787
1. Kwenye mshituko; mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua
2. Kwenye kupenda; mwanaume huanza kutamani alafu hupenda, mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila kumjua vizuri huyo ampendae
3.Kwenye kusaidia; mwanaume hutoa msaada alafu uhuzunika, mwanamke huuzunika badae ndo anakumbuka km msaada unahitajika
4.Kwenye maamuzi; mwanaume hufikiri ndipo hutenda, mwanamke hutenda halafu hufikiri
5.Kwenye kudanganya; Mwanaume hudanganya ili kumlinda mwanamke, mwanamke hudanganya ili kumkomoa mwanaume
6.Kwenye ugomvi; wanaume hupigana halafu hueshimiana, wanawake hupiga mikelele alafu kila mmoja hurud kwake, kexho tena
7.Kwenye ndoa; mwanaume hutafuta maixha ndipo huoa, mwanamke huolewa ndipo atafute maisha
8.Kwenye kukata tamaa; mwanaume hukata tamaa mapema ili jambo lisimsumbue, mwanamke hajui kukata tamaa hadi aumizwe
9.Kwenye kula;Mwanaume hushiba alafu huanza madoido, mwanamke huanza na madoido alafu badae hujilaumu hakushiba
10.Kwenye siri; Mwanaume hutunza siri hasa za aibu, mwanamke humueleza shoga yake badae hugombana nae baada ya kumrudia mwenyewe kwa siku 2 tu
11. Kwenye kufanya MAPENZI mwanaume hisia zake ni za mwendo kasi , mwanamke hisia zake ni za talatibu mpaka zitafutwe.
 
Umenikumbusha mwaka mmoja shangazi aliumwa yupo hoi taaban kalala ndani ,ana watoto 4 wote wa kike, nilikuwa sijui kama shangazi anaumwa. Bas siku hiyo nimetoka zangu mihangaikoni nafsi ikanituma nipitie pale kwake niwape salamu, shaaabash! Shangazi hata kuongea anashindwa na ukimtizama ni mtu aliyekwisha kata tamaa kbs! watoto wake wote wako nae pale kitandani hawaondoki wanalia tu.

Nikapata wazo la kabla ya kumwahisha hosptl ale kwanza, tukaandaa uji wa faster pale nikampa kaupiga wote, kaugali laini fasta katwanga akaanza kutokwa jasho la hatari pale- wakati huo nimeita usafiri tunasubiria, alipokuja kupata nguvu ya kuongea akasema ni Mungu tu alikuleta uje uniokoe kwasababu nilikuwa nakufa kwa njaa- wanangu kila siku wanalia tu na mimi asbh jioni hakuna hata anaekumbuka kama mgonjwa amekula au hajala
 
Back
Top Bottom