utoaji wa notes kwa wanafunzi wa elimu ya juu unadidimiza kiwango chaelimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

utoaji wa notes kwa wanafunzi wa elimu ya juu unadidimiza kiwango chaelimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by eresa, Jun 4, 2012.

 1. e

  eresa Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekuwa nikiangalia mada mbali mbali kuhusu usomaji wa vitabu.naamini kama msomi wa chuo kikuu mwaka wa tatu hawezi andika kisomi hili ni jibu tosha ni wakati wa kuwaelekeza au kufundisha na kuwapa kazi zitakazowafaya wasome.hii itakuwa na faida nyingi kwa mtu mmojmmoja na jamii kwa ujumla
   
 2. Kibada

  Kibada Senior Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wataandama hao! Watasema hawafundishwi..
   
 3. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivyo vitu vinafanyika labda miaka hii vyuoni wameacha. Nakumbuka pale UDSM watu wa kozi mbalimbali utaona wako bize kwa ajili ya assignment mbalimbali walizopewa lengo ni kuwawezesha wasome references mbalimbali na kujiweka sawa. Pia kuna vipindi vya seminar mbalimbali ambazo wanafunzi wanachagua topics za presentation. Suala wengi wao kukopi kazi za wenzao hasa kwa zile kozi ambazo wanfunzi utakuta zaidi ya 100 ni vigumu lecturer kutoa assignment za kupresent au kuandika paper kwa mtu mmojammoja. Ila nakubaliana na wewe lectures pia wabadilike katika ufundishaji kwa mfano wawe wanatumia reserch papers mbalimbali kama mifano katika kufundisha na unaweza ukawapa wanafunzi hizo wazijadili hii itawajengea wanafunzi uwezo wa kujenga hoja hata ya kuwa karibu nauandishi wa research na hata kuvutiwa kutafuta research paper mbalimbali kwa mada husika na kusoma. Pia itawasaidia kujenga wazo na hisia na kufanyia kazi wazo hilo hata baada ya masomo
   
 4. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Changamoto katika vyuo vikuu ni nyingi kuliko unavyoweza kufikiri. Boom linaisha mapema - fedha ya kutafutia machapisho na articles inakuwa kitendawili. Wanafunzi acheni kujirusha mara mpatapo BOOM!
   
Loading...