Utitiri Wa KODI kama huu Wa nini?

Huntsman

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
646
608
Wakuu ebu angalieni attachments hizi kisha tujiulize utitiri Wa modi kama huu una tija yoyote kweli. Na lengo ni kumsaidia mjasiriamali au ndio kumkandamiza?
uploadfromtaptalk1458933546453.jpg
uploadfromtaptalk1458933567900.jpg
uploadfromtaptalk1458933579441.jpg
 
kwani hao wachimbaji wa dhahabu wanalipa kodi? umesahau wale waliomtengenezea Mkapa fimbo ya dhahabu kana kwanba zote ni zake sio za Watanzania...
 
Kiatu made in Tanzania naona kitakuwa laki 3 na mkanda wa ngozi chapa Tanzania laki
 
Back
Top Bottom