Utiriri wa wagombea CCM ni trick ya kutafuta 'security na chance' ya kupata teuzi mbalimbali baada ya Uchaguzi Mkuu

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Hakuna mtu mjinga wa kuacha na kuhatarisha kibarua chake na kwenda kutest zali la kuchukua fomu na kugombea Jimbo fulani kwa tiketi ya CCM !

Wengi wanaenda kugombea baadhi ya majimbo wakijua kabisa hawatatoboa , hawatapata kitu.

Ila tayari wanakuwa wameijenga CV na kuingia kwenye system ya CCM na serikali kwa ujumla, ambapo probability ya kupata uteuzi ni rahisi sana hapo baadae.

Vigogo wengi wenye biashara zao na miradi mikubwa wanaenda kugombea (hata wakikosa) ili kupata security.

Mbongo hajawahi kuwa mpumbavu!
 
CCm imekusanya hela safi sana mwaka huu, naishauri waongeze siku mbili na hizo siku mbili hela ya fom iwe 10,000 watakusanya sana
 
Back
Top Bottom