Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Uti huwa inawasha?
Mbona hio ni dalili ya fangasi?.

Uti najua ni homa na maumivu chini ya kitovu
 
Uti huwa inawasha?
Mbona hio ni dalili ya fangasi?.

Uti najua ni homa na maumivu chini ya kitovu
Tatiz hujajua neno uti manake nn, nimeelezea apo juu hujasoma, uti ni neno la jumla la magonjwa yote yanayoshambulia uretha kibofu na figo, inaweza kua fungus au virus japo ni marachache wanaweza kusababisha malengelenge pia.
 
UTI ni Urinary Tract Infection
Inashambulia njia ya mkojo kwenda hadi kwenye figo ndio

Na kwa wanawake njia ya mkojo na uke ni vitu viwili tofauti

Ukiwashwa tibu fungal infection baba usirembe kwa dawa za UTI

Na pia ongezeni usafi na mtumie tissue paper kujiweka wakavu mkitoka msalani
 
Sjaelewa unapinga au unaongeza, but all in all uko sahh muwasho maranyingi ni fungus lakin fungus wa aina hii akimuingia mwanaume anasumbua kutibu ndoman nikatoa somo jinsi gan nilitibu, kwasab niliknywa dawa zot unazozijua ww za bacteria na fungus, kama una nyongeza sema ww uliponaje watu wafaidike sio Ku challenge uonekan unajua haisaidii
 
Km infection inajirudia rudia
Maybe mtu ufanye lifestyle change

Vyakula- sukari si nzuri..maintain mwili walau hews ipite hapo kati

Maji unayotumia-yasije kua na fungus
Sabuni-usijekua unaoshea uchi hasa KE..vagina is self cleansing

Tissue paper-zitumie ili ubaki na ngozi kavu mda wote..infection zinachochewa na joto/unyevu

Nguo za ndani unazovaa-vaa za pamba/cotton na zisikubane sana
Usiku usivae chupi for ladies
Km hutoki home vaa kitu loose pia

Namna unavosafisha sehemu za siri
Usijekua husafishi vizuri uchafu ama ur over cleaning
Kujifuta baada ya haja kubwa iwe kwenda nyuma na si mbele

Na general care
Jipende ..paka vimafuta kdgo usipaukiane

Shave or wax nk

Have safe sex

Ukipata muwasho wowotee ama vipele ama dalili usioielewa wahi hosp usilee magonjwa ya sirini

For ladies:Ikibidi fanya na ultrasound kbs ili uone picha kamili ndani utibu chanzo zaidi
Ama HVS/High Vaginal Swab
 
Kuna ndugu yangu alienda kupima na akakutwa na Bakiteria na akaandikiwa dawa hizo hapo chini.

1. Sindano za kuchoma kwenye mishipa kwa siku 5.

2. Vidonge Zaha tabs

Sasa dozi imeisha ila hakuna unafuu bado kuna bauring kubwa ya mkojo.

Msaada pls
20190819_220328.jpeg
20190819_220351.jpeg
20190819_220453.jpeg
 
Baada ya kwenda kupima na kukutwa na uti 34 nilianza kutumia amoxilline kama doze mbili ivi bila mafanikio ya kupona nikaamua kwenda duka la dawa ya uti ya dose ya siku chache nikapewa AZUMA ambayo nimeitumia kwa siku tatu ambayo dose nimemaliza jana usiku lakini nimeishia kupata nafuu kiasi tu lakini nahisi bado uti ipo haijaisha ,au nina uti sugu au AZUMA sio dawa sahihi nimeingizwa mjini au nina uti sugu mana sielewi,NAOMBENI USHAURI MANA NAOGOPA NIDIJESHINDWA KUGEGEDA PAPUCHI NIKIRUDI ARUSHA MANA NIPO RIKIZO SASA HIVI MORO YAPATA MWEZI SASA
 
Azuma ni dawa ya gono..
Unajiskiaje mpaka unahisi uti haijapona vizuri ?
Unakunywa maji ya kutosha!?
Kiukweli sinywi maji ya kutosha lakini nahisi kama maumivu ya kuchomwachomwa na mkojo kwenye kichwa cha uume kwa ndani, pili Azuma kumbe ni dawa ya gono duh
 
Baada ya kwenda kupima na kukutwa na uti 34 nilianza kutumia amoxilline kama doze mbili ivi bila mafanikio ya kupona nikaamua kwenda duka la dawa ya uti ya dose ya siku chache nikapewa AZUMA ambayo nimeitumia kwa siku tatu ambayo dose nimemaliza jana usiku lakini nimeishia kupata nafuu kiasi tu lakini nahisi bado uti ipo haijaisha ,au nina uti sugu au AZUMA sio dawa sahihi nimeingizwa mjini au nina uti sugu mana sielewi,NAOMBENI USHAURI MANA NAOGOPA NIDIJESHINDWA KUGEGEDA PAPUCHI NIKIRUDI ARUSHA MANA NIPO RIKIZO SASA HIVI MORO YAPATA MWEZI SASA
Punguza ZINAAA
 
Kiukweli sinywi maji ya kutosha lakini nahisi kama maumivu ya kuchomwachomwa na mkojo kwenye kichwa cha uume kwa ndani, pili Azuma kumbe ni dawa ya gono duh

Kunwa maji mengi angalau lita mbili kwa siku ukojoe mkojo mwingi hao bacteria watoke kwa njia ya mkojo.
Badirisha boxer kila siku
Kama kuna mwanamke unakutana naye tumia kinga au pumzika kidogo hadi upone
 
Baada ya kwenda kupima na kukutwa na uti 34 nilianza kutumia amoxilline kama doze mbili ivi bila mafanikio ya kupona nikaamua kwenda duka la dawa ya uti ya dose ya siku chache nikapewa AZUMA ambayo nimeitumia kwa siku tatu ambayo dose nimemaliza jana usiku lakini nimeishia kupata nafuu kiasi tu lakini nahisi bado uti ipo haijaisha ,au nina uti sugu au AZUMA sio dawa sahihi nimeingizwa mjini au nina uti sugu mana sielewi,NAOMBENI USHAURI MANA NAOGOPA NIDIJESHINDWA KUGEGEDA PAPUCHI NIKIRUDI ARUSHA MANA NIPO RIKIZO SASA HIVI MORO YAPATA MWEZI SASA
Mkuu naona kama maelezo yako yanajichanganya vile au labda mimi ndo kilaza ?
1.Kwanza kwa ninavyosoma hapo wewe ni mwanaume,kwa kwa anatomy ya mwanaume,kupata UTI ni vigumu sana,sio kwamba haiwezekani ila ni vigumu sana.
2.Unazungumzia kushindwa kugegeda. UTI haiambukizwi kwa kugegeda labda ugegede ile ule mtandao pendwa ndo unaweza kupata UTI.Sasa unapozungumzia suala la kushindwa kugegeda hapo unanichanganya.
3.Naamini kabisa unachanganya kati ya UTI na STD.
4.Kwa upande wa matibabu ni vizuri sana unapopima wafanye culture and sensitivity. Hiyo ndio itaonyesha antibiotic gani inatibu infection uliyonayo.Bila kufanya hivyo huwa wanatoa matibabu kwa lugha ya kitaalamu tunasema "Empirical treatment"
Yaani kwa lugha rahisi ni "Educated guess".
5.Kwa mfano kuna bacteria zaidi ya 20 ambao wanaweza kukupa UTI,na inawezekana aina moja ikatibiwa na flouroquinolone(mfano Cipro/levaquin)
na nyingine ikatibiwa na( macrolide group mfano azithromycin/clarithromycin)
6.STD nazo zipo za aina kadhaa.
Ushauri,fanya vipimo stahiki ili upate matibabu ya uhakika.Usizembee afya yako.All the best.
 
Usipate shida kabisa tafuta majani ya mchai chai, na majani ya mkoma manga yaoshe vizuri chemsha acha ya chemke vizuri baada ya hapo tafuta kikombe cha lita moja ya maji weka kunywa ukiwa bado ina moto

Kunywa asubuhi, mchana, jioni, tumia hivyo siku nne ukimaliza njoo hapa utuambie kama hiyo U.T.I utaiona
 
Mwanaume UTI umeitoa wapi??..au mambo yenu ya kifirauni

Na hivi vihospitali uchwara ukienda tu unaumwa wanakuambia UTI..huwezi kuconfirm kuwa mtu ana UTI 100% bila kufanya culturing ni bacteria gani aliyeleta infection na ili pia iwe rahisi kutibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom