Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

MMENICHUKIZA SANA NA HUYO ZITTO WENU ANAEWATUMA TUMA,,YAN SANA...!:frusty::frusty:

HASIRA NILIZOKUWA NAZO JUU YENU NYINYI MAMLUKI KWA HUKUMU YANGU MIMI NINGEKUSANYA NINYI NYOTE,,NINGETEMBEZA BAKORA ZA MGONGO KWA MMOJA BAADA YA MWINGNE HADI HASIRA ZANGU ZINIISHIE THEN NDIO TUWAITE KWENYE MAHOJIANO NA KUWATIMUA KWENYE HIKI CHAMA MOJA KWA MOJA,,

WATU WANAWEKA PLAN ZA KUIKOMBOA HII NCHI NYINYI MNAKUJA KUVURUGA??

ZITTO BORA ZILE SEATING ALLOWANCES KULE BUNGENI UNGEENDELEA TUH KUCHUKUA UJE UWALIPE HAWA WATUMWA WAKO WACHUMIA TUMBO,AU UKAWALIPE WAGANGA WA KIENYEJI

WANAFIKI WAKUBWA KABISA..

YOU MUST BE SO SO DULL YOU GUYS..
 
Kidogo naanza kupata mwanga wa kinachoendelea chadema:
  1. Kuna mgogoro unaomhusu Dr Slaa baada ya kuendesha chama kwa matakwa ya mchumba wake
  2. Kuna mgogoro kuhusiana na upatikanaji wa viongozi wa CDM baada ya John Heche kupewa shavu
  3. Kuna mgogoro kuhusiana na embezzlement kwenye ruzuku
  4. Kuna fitina kati ya viongozi wenye mvuto wa kisiasa ambao ni Mbowe, Slaa & Zitto
  5. .....
Nani atakayeweza kumfunga paka kengele???????????
 
Mkuu Ritz, hii kauli ya mwampamba una cha kuongeza?

" Wana jf ,Naomba mnielewe kwamba kutomuunga mkono mchungaji au padre mnafiki, mpika majungu, mfitini, anaendesha kanisa kwa maono ya hawara yake, mkabila, ndumilakuwili haimanishi kwamba nimelihasi kanisa, kanisa huendeshwa kwa maono ya biblia na mchungaji au padre anaweza anaweza potosha kondoo wake kama alivyofanya mchungaji kibwetele kwa kuwaangamiza kondoo wake waliokuwa wanamwaminia kuliko biblia"
 
Last edited by a moderator:
Hakuna siri chini ya jua, wasaliti wote siku zote huishia kuumbuka. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Naona hoja ya kutaka kuuwawa aliyoianzisha Zitto inarudiwa rudiwa na wapambe wake:, je ni mkakati wa kutafuta kuonewa huruma? au ni mbinu ya kufanya Ben Saanane akamatwe na kuhojiwa na polisi?

Naona anaingizwa hapa na Chacha Wangwe ambaye kabla na mara baada ya kifo chake CCM walikuwa katikati ya tukio. Ndio waliochukua nyaraka zake na mambo mengine mengi kama mtakumbuka kisa cha Fax ya Makamba toka makao makuu ya CCM.

Swali ambalo Zitto, Mchange, Mwampamba wanapaswa kujibu: Ni kwanini hizo tuhuma za Ben Saanane kutaka kumuua Zitto hamkuwahi kuzitoa siku zote mpaka baada ya yeye kuwaumbua? Mbona maelezo yenu yanatofautiana mmoja akisema alipeleka sumu, mwingine alilegeza tairi za gani za nyuma na mwingine akisema mengine?

Ni ukweli kwamba mlifanya ushirikiana kama ilivyoanikwa hapa kwa kuhusisha waganga wa kienyeji? Na nini tafsiri ya kauli ya Zitto aliyoandika mwenyewe hapa JF kuwa akifa kwa mkono wa mtu, mtu huyo atakufa na mpaka na panya wao kwa kuwa yeye Zitto ameaga kwao Kigoma?

PM
 
Kidogo naanza kupata mwanga wa kinachoendelea chadema:
  1. Kuna mgogoro unaomhusu Dr Slaa baada ya kuendesha chama kwa matakwa ya mchumba wake
  2. Kuna mgogoro kuhusiana na upatikanaji wa viongozi wa CDM baada ya John Heche kupewa shavu
  3. Kuna mgogoro kuhusiana na embezzlement kwenye ruzuku
  4. Kuna fitina kati ya viongozi wenye mvuto wa kisiasa ambao ni Mbowe, Slaa & Zitto
  5. .....
Nani atakayeweza kumfunga paka kengele???????????
slaa ni level nyingine na ccm wote wanajua hilo,hawa vijana njaa wameshapokea mshiko wa magamba kusambaratisha chama lakini wamekosea..wangechagua vichwa kama mnyika sio zitto na vilaza wake hawa
 
Ombi langu kwa Zitto na Dr. Kitila Mkumbo kaeni kando ya huu mtanange kuepusha msongamano....
 
Last edited by a moderator:
maskini zitto wa watu! kumbe kweli kuna watu wanataka kumdhuru ndo maana jana akaamua kuongea kwa hasira kiasi kile!aiseee! zitto yuko sahihi kwa kuchimba mkwala.kumbe jamaa ana siri nzito!" hebu rejeeni hapa jamani! "ben saanane aliongeza juhudi za kunipeleleza kuhusu maisha ya zitto na jinsi ya kumpata zitto ili waongee.ben saanane alijitahidi sana kutushawishi kwamba tuwe na kikundi cha kuwapinga viongozi wa chama(ushahidi ninao) lakini hakuweza kufanikiwa maana lengo lake lilikuwa ni kumuua zitto kwa sumu kitendo ambacho tulimshikukia na tukaanza kumkwepa(ushahidi upo)."
 
Hahahhaaa hivi kumbe na wewe ulikuwa mgombea, kiswahili chenyewe ndio hiki?

Huwezi kujenga hoja mkuu wangu, mie sio mshabiki wa upande wowote but at least wenzako wanaelekea elekea, sijaelewa kabisa content ya thread yako, suala sio ugeni wako jamvini ila naona hata uelewa wako ni mdogo kidogo....

Nawashauri haya mambo kama mlivyokaa huko kwenye hizo hotel zenu basi itaneni mmalizane huko huko hapa mnatujazia server bure bhana
Wameanza kufunguka. aliyewa-recruit naye atakuwa na mapungufu maana wanaonekana kama wote ni vilaza.
 
Join Date : 19th December 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Halafu mbona ana mwandiko mbaya? Alifikaje hapo kugombea uenyekiti na ubunge?
 
Ulikuwa ukitumia username ipi maana naona umejiunga kwa majina yako halisi jana.
Join Date : 19th December 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes

Je wewe ndo TUNTEMENKE? Kama wewe mkweli sema ID yako nyingine tukupekue posts zako
 
Mwacheni huyu kitoweo ajiendee zake CCM akaliwe. Nashangaa CDM kuendelea vibaraka kama hawa. Anatuletea ushuzi mtupu11
 
MTEla kwa maelezo yako unasema wote mmehusika na kuiunda CHADEMA na unaamini kwenye hiyo taasisi lakini napata wasiwasi kama kweli nyie vijana mnayo nia ya dhati ya kumkomboa Mtanzania.

Katika kipindi kifupi tu mmeonyesha kwamba nyie shida yenu ilikuwa ni madaraka maana baada ya kuenguliwa mkaunda vikundi vya kusababisha CHADEMA isiongozeke hadi kwa waganga mkaenda.

Vijana wadogo mnanuka majungu mwili mzima, WACHAWI hadi mnataka kuuana sababu ya madaraka nyie vijana mnasema wazee wamewazibia nafasi za kufanya kazi mkipewa mtaweza wakati mmeshafikiria uchawi tu ndiyo kazi? Ni aibu kwa kizazi cha sasa badala ya kufanya kazi mnaenda kwa waganga wa kienyeji ni jinsi gani mlivyo na mawazo mufilisi pamoja na kwamba mmekwenda shule bado wachawi tu.

Uchawi uzungumuzwe kwa wazee lakini inappfikia vijana wanahusishwa na uchawi hamna Taifa happ ni balaa,wakati huo wengine wanataka kwenda Ikulu hivi huo uchawi mtaufanya huko Ikulu?

TUNA VIJANA WASOMI WADOGO WALIOFILISIKA KIAKILI,WAMEANZA UCHAWI WAKIWA BADO WADOGO SANA JE MKIZEEKA SI ITAKUWA HATARI?

Hamna nia ya dhati ya kumkomboa Mtanzania nyie ni magamba tu na mafisadi hamna lolote,na istoshe mna tamaa ya madaraka ndio maana mnanunulika kirahisi na kufanya maamuzi ya kipumbavu yasiyo na msingi

kisimu kimenibania mkuu, ningekusukumia LIKE
 
Wana jf ,Naomba mnielewe kwamba kutomuunga mkono mchungaji au padre mnafiki, mpika majungu, mfitini, anaendesha kanisa kwa maono ya hawara yake, mkabila, ndumilakuwili haimanishi kwamba nimelihasi kanisa, kanisa huendeshwa kwa maono ya biblia na mchungaji au padre anaweza anaweza potosha kondoo wake kama alivyofanya mchungaji kibwetele kwa kuwaangamiza kondoo wake waliokuwa wanamwaminia kuliko biblia

Naona Mwenyekiti wenu(zitto) amekuelekeza uandike hapo pekundu.
 
Back
Top Bottom