Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

tumechoka! this is not a right place now>>> nenden kwenye vikao vya chama jamani!!!! Yani imekuwa kama Hadija kopa na Nasma Kadogoo R>I>P. Siasa haiendi hivi Nyie Vijana. Dr Slaa na Mw Kit. Please hawa Vijana waiteni muwaonye, Huu upuuzi wa maneno ya khanga hatutaki humu jamiii. hapa wasira na Nape wanachekelea tu, wanapata vyakuongea majukwaani.
Huu ni upuuzi,Mbona mlifurahia majungu na uongo wa Ben saanane
 
MTEla kwa maelezo yako unasema wote mmehusika na kuiunda CHADEMA na unaamini kwenye hiyo taasisi lakini napata wasiwasi kama kweli nyie vijana mnayo nia ya dhati ya kumkomboa Mtanzania.

Katika kipindi kifupi tu mmeonyesha kwamba nyie shida yenu ilikuwa ni madaraka maana baada ya kuenguliwa mkaunda vikundi vya kusababisha CHADEMA isiongozeke hadi kwa waganga mkaenda.

Vijana wadogo mnanuka majungu mwili mzima, WACHAWI hadi mnataka kuuana sababu ya madaraka nyie vijana mnasema wazee wamewazibia nafasi za kufanya kazi mkipewa mtaweza wakati mmeshafikiria uchawi tu ndiyo kazi? Ni aibu kwa kizazi cha sasa badala ya kufanya kazi mnaenda kwa waganga wa kienyeji ni jinsi gani mlivyo na mawazo mufilisi pamoja na kwamba mmekwenda shule bado wachawi tu.

Uchawi uzungumuzwe kwa wazee lakini inappfikia vijana wanahusishwa na uchawi hamna Taifa happ ni balaa,wakati huo wengine wanataka kwenda Ikulu hivi huo uchawi mtaufanya huko Ikulu?

TUNA VIJANA WASOMI WADOGO WALIOFILISIKA KIAKILI,WAMEANZA UCHAWI WAKIWA BADO WADOGO SANA JE MKIZEEKA SI ITAKUWA HATARI?

Hamna nia ya dhati ya kumkomboa Mtanzania nyie ni magamba tu na mafisadi hamna lolote,na istoshe mna tamaa ya madaraka ndio maana mnanunulika kirahisi na kufanya maamuzi ya kipumbavu yasiyo na msingi
 
Kwahiyo ungeshinda uchaguzi ule wa Bavicha leo hii ungekuwa kiongozi wa vijana wote wa Chadema Tanzania?? Hufai kuwa kiongozi, endelea kukua..!
 
A poor childish post!kafie mbali msaliti mkubwa wewe!kumbe ulikuwa unaufahamu huo mgogoro siku nyingi!ulichukua hatua gani?poor you
 
Mtela,

This is sooo soo nonsense...!!!ridiculousness...!!

Sijapata kuona akili finyu kama hii,,na huu ni mwendelezo wa zitto katika kuwatuma nyinyi mzidi kukiharibu hiki chama,sasa dr slaa anaingia vipi kwenye mgogoro huo??

Its ok kama wewe una furaha siku moja zitto akija kuwa raisi wa nchi hii basi endelea kufurahi,,ni sisi wapiga kura ndio wenye kauli ya mwisho ya kumfanya mtu awe raisi,kama mnataka kulilazimisha hilo wewe na zitto wako endeeleeeni kuroga kama mnvofanya,,

mshageuza hapa kama kijiwe cha watoto wa shule si ndio??hatutaki tena kuskia upuuz uppuz wenu kama huu,,viongozi wangu wakuu wa chama dr slaa na mbowe siku nyingne muwe mnafanya tathmini kabla ya kupitisha majina ya watu kama hawa kujihusiha na chama hiki,,wanaharibu taswira ya chama moja kwa moja,,

angalia hata mawazo yake yalivo ya kitoto

shame on you,go back to school..
 
Karibu Kutoka Mafichoni Kijana Narudia tena kusema Beni kashawapaka Mavi wewe,Mchange na Juliana mnachoendelea kufanya ni kuyasambaza tu!Unachojaribu kueleza hapa ni kweli kuwa na wewe ni Muasi wa Chama ila mmezidia na Ben. Kwetu hilo siyo la Msingi kama kweli nyie mlikuwa mnakitakia mema Chama kwani hakuyaripiti haya kwenye mamlaka husika?Kama umeweza kusafiri kutoka Mbeya kuja Dar kuongea na Press ***** ukaenda mpaka mwanza na JF kwa ID fake kwanini hukuripoti uozo wa Ben?
Hili la Ben kutaka kumua Zitto una ushahidi? Kama ndiyo kwanini ujaupeleka kwenye vyombo husika?au ulikuwa unasubiri atekeleze mpango wake ndiyo uje hapa kuleta story?
Matusi kwa Dr. Slaa yanakusaidia nini katika siasa zako? Kama Unao wanaubaguzi kwanini usiende kule ambako utaisi utakuwa huru?ila kama kweli ingekuwa hivyo wangekubali kukupa nafasi ya kugombea ubunge?
Bado Zitto kuja front..........
 
Habari wana JF mimi ndiye Mtela Mwampamba ambaye nilikuwa mgombea ubunge mbozi mashariki na pia nilikuwa mgombea uenyekiti bavicha taifa,


Mimi ninaamini katika taasisi imara ambayo ni chadema niliyoijenga na ninayoijenga kwa kushirikiana na wenzangu kwa nguvu na moyo wote kikamilifu.sijapenda sana kumuelezea exaud mamuya maana namfahamu ni kijana asiye jitambua na muda wote yeye hufanya kazi ya ukuhadi hata wanabavicha huwa wanampuuza ndio maana kuna kipindi alichukua form ya kugombea uongozi bavicha(unaibu katibu bavicha) akaambulia kura sifuri maana kila mtu humpuuza kwa kuwa wanamfahamu akili yake.

R.I.P CHACHA ZAKAYO WANGWE, PHILLIP MAGADULA SHELEMBI.
Bado tunaendeleza harakati mlizoziacha na walahatutakata tamaa hata wakitumaliza wote wapo watakao zaliwa wenye maono kame yenu na ni malize kwa kusema mimi sio kitoweo cha wajinga ndio waliwao.

CHADEMA HURU KWA MASLAHI YA KITAIFA

Bwana Mwampamba,

Nashukuru huu ndio ujumbe wako wa kwanza hapa JF, unaweza kutujibu maswali yafuatayo kutokana na uliyoandika?

Umesema kwamba Mchange alifukuzwa na Kamati Kuu kwa ajili ya kumbeba Heche; unataka kusema kwamba Mwanahalisi liliandika habari za uongo kuwa alienguliwa kwa kutoa rushwa? Masalia ya Zitto yapukutishwa CHADEMA | Gazeti la MwanaHalisi , kwa kuwa umesema una mawasiliano na Mchange; je namba hizo zilizotajwa kwenye habari ambazo zilitumika kusambazia fedha sio za kwake?

Umesema kwamba huishambulii CHADEMA; lakini hapa hapo hapo umehoji kuhusu fedha za Sabodo na mambo mengine ya chama kwamba sio sawa? je, kufanya hivyo huisambulii CHADEMA? Unadhani ilikuwa sawa au sio sawa kwa CHADEMA kupokea michango kutoka kwa Sabodo?

Unaonyesha kukiri kwamba wewe, Saanane, Nyakarungu, Mchange na Juliana mlikuwa na kikundi cha kumhujumu Dr Slaa na viongozi wengine wa CHADEMA kwa ajili ya Zitto, ambaye umetaja wazi kuwa ndiye unayemtaka kuwa Rais; unadhani kwamba mujibu wa katiba ya chama chenu, matendo yako hayo ni sahihi?

Unaonyesha unasikitishwa na udini, ukabila na ukanda ndani ya CHADEMA; unaweza kueleza kwamba ubaguzi huo unafanywa na nani na kwa namna gani?

PM
 
sooo soo nonsense...!!!ridiculousness...!! Sijapata kuona akili finyu kama hii,,na huu ni mwendelezo wa zitto katika kuwatuma nyinyi mzidi kukiharibu hiki chama,sasa dr slaa anaingia vipi kwenye mgogoro huo?? Its ok kama wewe una furaha siku moja zitto akija kuwa raisi wa nchi hii basi endelea kufurahi,,ni sisi wapiga kura ndio wenye kauli ya mwisho ya kumfanya mtu awe raisi,kama mnataka kulilazimisha hilo wewe na zitto wako endeeleeeni kuroga kama mnvofanya,, mshageuza hapa kama kijiwe cha watoto wa shule si ndio??hatutaki tena kuskia upuuz uppuz wenu kama huu,,viongozi wangu wakuu wa chama dr slaa na mbowe siku nyingne muwe mnafanya tathmini kabla ya kupitisha majina ya watu kama hawa kujihusiha na chama hiki,,wanaharibu taswira ya chama moja kwa moja,, angalia hata mawazo yake yalivo ya kitoto shame on you,go back to school..
polepole utakaa chini tu
 
mbona hizi storry ya mchange na mtera kama zinafanana hivi
wenzako kina mchange...!!!!!

wala hauamini kwenye cdm iliyojengwa na kina mzee mtei na wengine...
bila shaka hapa watu watakuelewa wewe ni nani, umekuja kumtetea bosi wako ili muendeleze usaliti wenu?
kwa maelezo yako niko wazi kikundi cha wasaliti kinafadhiliwa na zitto
 
Natamani mpiganaji chacha wangwe angekuwepo,RIP CHACHA,ulipenda kukijenga chama kuanzia bottom,ila mabepari yakakupinga
 
Wana jf ,Naomba mnielewe kwamba kutomuunga mkono mchungaji au padre mnafiki, mpika majungu, mfitini, anaendesha kanisa kwa maono ya hawara yake, mkabila, ndumilakuwili haimanishi kwamba nimelihasi kanisa, kanisa huendeshwa kwa maono ya biblia na mchungaji au padre anaweza anaweza potosha kondoo wake kama alivyofanya mchungaji kibwetele kwa kuwaangamiza kondoo wake waliokuwa wanamwaminia kuliko biblia.
What do you want to insinuate broda?...
Eleza basi hata mlivyopelekwa kwa Kigagura ili mnawe dawa, mbona mnakwepa sana hilo?
Tunachotaka sisi ni je baada ya kugundua hayo yote mliyopatana kusema, what do you think is the way foeward?..
Je Majungu yaendelee au mko tayari kuacha vendetta ya kugombea madaraka na kufanya kazi za kawaida?

 
uthibitisho wenyewe uko wapi zaidi ya umbea tu...ninyi na hao wenzio ni wa kuogopwa kama ukoma ..yaani hamfai hata kupewa ubalozi wa nyumba kumi.
 
Mmmh kama kuunga kuwa kitu kimoja pia patamuhusu huyu mleta mada hii mimi undugu na CHADEMA utakuwa basi nimemstudy vizuri huyu ni tatizo haswaaaaaaaa ananuka harufu ya HONGO kutoka CCM kwa kweli huyu MWAMPAMBA hapana.
 
Back
Top Bottom