Elections 2010 Uthibitisho wa kikao cha la cairo huu hapa

Status
Not open for further replies.
CCM inaweza kuwafanya watu wote wajinga kwa wakati mmoja; inaweza kuwafanya baadhi yao wajinga wakati wote, lakini haiwezi kuwafanya watu wote wajinga wakati wote.
Naamin mabadiliko huja taratibu lakini mapinduzi huja haraka. Watanzania tupo kwenye safari ya mabadiliko, na huu ni mwanzo mzuri na inaonyesha kwa kiasi kikubwa uelewa wa watu umezidi kuongezeka. Haki kamwe huwa haipotei bali inacheleweshwa tu. Ni jukumu letu sisi sote kuhakikisha tunadai haki zetu katika uwanja wa amani.
Tutoe elimu ya uraia vijijini, tuwahamasishe watu wajitambue waone njia. Chama tawala siku zote kitatumia kila njia kuhakikisha kinabaki madarakani kama ilivyokuwa kwa wakoloni. Sishangazwi sana na hiyo barua kwani najua tu hayo ni baadhi ya mengi iliyofanya kupunguza idadi ya wapiga kura na kuwa nyima haki zao za msingi.
 
Paulo usitumiwe,ujinga huo hapo hata mimi naweza kufanya na mkubwa zaidi ya huo kwa elimu yangu naweza kukutengeneza wewe unafanya mapenzi na mnyama na hakuna atakayebisha,msitupeleke RWANDA mpeni ushauri Slaa amrudie mungu atubu kwa udhalilishaji (Sifa kuu ya mapadre wa katoriki) arudi kutumika kanisani NA hilo ni gumu sana
Muhtasari wa kikao cha la cairo huu hapa
 
Muhtasari wa kikao cha la cairo huu hapa

Bahati mbaya kwa kura za wabunge hii mipango haikufanikiwa kufanya kazi. Mipango yao iligonga ukuta ingawaje kwa kura za urais inawezekana walifanikiwa kuchakachua!!!! By the way ni kwa nini Kikwete alihudhuria kikao hiki wala sio Makamba?

Tiba
 
Paulo usitumiwe,ujinga huo hapo hata mimi naweza kufanya na mkubwa zaidi ya huo kwa elimu yangu naweza kukutengeneza wewe unafanya mapenzi na mnyama na hakuna atakayebisha,msitupeleke RWANDA mpeni ushauri Slaa amrudie mungu atubu kwa udhalilishaji (Sifa kuu ya mapadre wa katoriki) arudi kutumika kanisani NA hilo ni gumu sana

Msemaukweli nakupa pole kwani jaribu na wewe kufoji mihitasari ya mikutano ya mafisadi kama tutakusikia tena..
 
Msemaukweli nakupa pole kwani jaribu na wewe kufoji mihitasari ya mikutano ya mafisadi kama tutakusikia tena..

Nyaraka hiyo ililetwa na Invisible hapa jamvini kabla ya uchaguzi. Ilipochambuliwa ikaonekana ni Fake. Nasikitika kuona Dr. slaa anaitumia eti ana ushahidi wa vikao vya siri vya kuchakachua matokeo. Hii ni hatari na mbaya sana kwa washauri wa karibu na Dr Slaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom