Kuna mdogo wang kachagulia multiple first round alichagulia chuo x na z na akadhibitisha chuo x bt sec selctn akachaguliwa chuo y na anataka akasome chuo y na kadhibitisha chuo y kaenda chuo x kucancel kwa mtandao imekataa bt wanasema haina shidah anaweza akaenda huko chuo y bt mkopo unaweza ukaenda chuo x so anaweza fanya transfer....Ambao wamepitia situation hii waje waeleze km haina tabu