Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
TMA waliitisha press kabisa kuhusu mvua zinazoendelea hapa Dar na kusema mvua hizi zitaendelea hadi Jumapili
Ila kwenye simu yangu, nikacheki utabiri nikaona tofauti na wa TMA inasema Jumapili, Jumatatu mvua itakuwepo kama kawaida, Jumanne(leo) ndio itakata
Nika save screenshot ya utabiri wa Google nikasema ngoja nilinganishe na wa TMA nione wapi wapo sahihi?
Matokeo yake mmeyaona leo wenyewe wakuu, utabiri wa TMA umekuwa wa uongo wakati wa simu yangu umekuwa wa kweli
Hii ni screenshot niliyoichukua Jumamosi ikionesha mvua zitakata Jumanne (Tuesday) ambayo ndio leo pamoja na kesho
,
Huu ni Utabiri wa TMA walioutoa kwenye mkutano wao na waandishi na kusema mvua zitakata Jumapili