Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,634
- 28,780
Mzuka wanajamvi.
Baadhi yenu msijifanye mmesahau. Bei ya vitu vilipanda kiholelaholela tuu mafuta ya kula, sukari na bidhaa nyingi tu. Kwa maksud na dharau na matusi akaliua soko la korosho na tukapoteza matrillion. Hela haikuwepo mtaani. Na wananchi kutukanwa na kudharauliwa kwenye awamu iyo FEDHULI na OENEVU haijawahi tokea.
Makazi ya watu kubomolewa kiholela na vyombo vya habari kukatazwa na kutishwa kutangaza. Watu tuliishi kwa hofu na vitisho. Angalau basi licha ya kutokuwa wawazi wangedeliver lakini wapi.
Sasa hivi kumeibuka na katabia flani kakukeraa na kuudhi na kanashika mizizi kwa kasi kupitia mgao wa umeme eti mwendazake aliudhibit na wanalazimisha kichiz na kumpa sifa za kijinga. Aliudhibit wapiii? Wakati humu humu JF kulikuwa na mada lukuki watu wakilalamika mgao wa umeme awamu hiyo onevu?
Licha ya kubana vyombo vya habari kutangaza mgao wa umeme lakini JF be the first to know and where we dare to talk freely and openly mada zilikuwa zinaletwa.
Na ushahidi ni huu. ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
Umeme wa Tanesco: Rais Magufuli anajua kinachoendelea? | JamiiForums

Umeme wa Tanesco: Rais Magufuli anajua kinachoendelea?
Wana bodi salam. Ukiwa mjini na unafanya kazi kwenye majengo makubwa ya mashirika au hotel kubwa kubwa, unaweza toka ofisini usijue kinachoendelea mtaani. Sababu ni kuwa wana automatic power generator. Naamini hata ikulu iko hivyohivyo. Wiki mbili mfululizo watumiaji wa umeme wa tanesco wako...
www.jamiiforums.com