UTEUZI: Waziri wa Habari, amemteua Leodger Chilla Tenga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Ia Taifa(BMT)

mekumeti

Senior Member
Jul 30, 2015
130
225
UTEUZI: Waziri wa Habari, amemteua Leodger Chilla Tenga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Ia Taifa(BMT) pamoja na Wajumbe Sita. Soma
 

K11

Member
Oct 15, 2014
88
150
Bora hilo ameliona maana wengine wametupeleka shimoni kwenye ulingo wa michezo, kila tukikutana na timu za nje ya Tz kwisha habari yetu, ndembwe ndembwe mlalo wa mende, karibu Chila mchango wako kwenye Taifa letu bado tunaukumbuka, yamkini ukasaidiana na wenzako kutukwamua hapa tulipokwama kwa muda mrefu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom