mopaozi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,301
- 519
Jadilini hoja ya kuvuja kwa huo uteuzi na si walioteuliwa ni aibu sana sana kuwa na watu wambea mbea ikulu enzi ya mwalimuuu dah yaani kulikuwa na full discipline ndo mana kila kitu kilikuwa kinaonekana kipya na mtu akivujisha siri anatoswa mbaya nakumbuka mwalimu alikuwa amteue malecela kuwa waziri mkUu alimuita kwanza na kumjulisha badala ya jamaa kukaa kimya akaanza na maandalizi ya sherehe na kuwajulisha watu kilichompata hadi leo hasahau alitoswa mbaya hii ndo discipline inayotakiwa katika serikali kwa wavujisha siri!