Uteuzi wa Wakurugenzi...

Omary Ndama

JF-Expert Member
Apr 16, 2017
3,367
4,056
....Hoja ndogo ya mwisho kuhusu suala hili. Sio tu kwamba Mh..Rais Magufuli amekiuka Katiba na Sheria ya Uchaguzi kujaza makada wa CCM kwenye uongozi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa, bali pia katika kufanya hivyo, Rais amenyakua madaraka yasiyokuwa yake.

Sheria yetu ya Utumishi wa Umma imeweka wazi utaratibu na mamlaka ya kuteua wakurugenzi wa Halmashauri hizo. Mamlaka hayo ni ya Tume Kuu ya Utumishi wa Umma, kwa kupitia Tume ya Utumishi wa Serikali za Mitaa.

Na wanaotakiwa kuteuliwa kuwa wakurugenzi wa Halmashauri hizo ni watu walioko kwenye utumishi wa umma, sio makada wa CCM waliokosa ubunge. Kama hili nalo halieleweki kwa akina Mwigulu Nchemba basi tuna tatizo kubwa kuliko tunavyofikiri.
 
Baelezee bandugu,
mtumishi wa umma akiteuliwa kuwa mkurugenzi anahama na mshahara wake,kunachofanyika ni mabadiliko tu ya viwango,lakini kwa asie mtumishi wa umma ni kumtengenezea ajira mpya,halafu wale waliokuwa maded kipindi cha muzee ya musoga, wamepelekwa wapi
 
....Hoja ndogo ya mwisho kuhusu suala hili. Sio tu kwamba Mh..Rais Magufuli amekiuka Katiba na Sheria ya Uchaguzi kujaza makada wa CCM kwenye uongozi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa, bali pia katika kufanya hivyo, Rais amenyakua madaraka yasiyokuwa yake.

Sheria yetu ya Utumishi wa Umma imeweka wazi utaratibu na mamlaka ya kuteua wakurugenzi wa Halmashauri hizo. Mamlaka hayo ni ya Tume Kuu ya Utumishi wa Umma, kwa kupitia Tume ya Utumishi wa Serikali za Mitaa.

Na wanaotakiwa kuteuliwa kuwa wakurugenzi wa Halmashauri hizo ni watu walioko kwenye utumishi wa umma, sio makada wa CCM waliokosa ubunge. Kama hili nalo halieleweki kwa akina Mwigulu Nchemba basi tuna tatizo kubwa kuliko tunavyofikiri.
Kuna majina mengi yamepata kutumika tangu enzi... BONGOLAND... DANGANYIKA... TANZA NIA... TANZA GIZA... NK...
 
Back
Top Bottom