Uteuzi wa Wabunge 8 wa Viti Maalim CUF umezingatia Katiba na Sheria

Florida Pangs

Member
Mar 31, 2017
46
18
Wabunge 8 wa Viti Maalim walioteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kupitia Chama cha Wananchi (CUF), imebainika kuwa wameteuliwa kwa kuzingatia ibara ya 78 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na vifungu vya 86A, 86A NA 78 (4) vya cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi sura ya 343, tofauti na kauli iliyotolewa kwamba walioteuliwa siwo.....
 

Attachments

  • 1-1.JPG
    1-1.JPG
    59.7 KB · Views: 66
  • 1-2.JPG
    1-2.JPG
    306.3 KB · Views: 59
  • 1-3.JPG
    1-3.JPG
    253.3 KB · Views: 61
Jambo moja ninaloweza kulisema kwa uchungu kabisa ni kwamba cuf ina katiba ya hovyo kabisa inayotoa mianya ya migongano na migogoro mana kila upande unatumia vifungu vya katiba yao hiyohiyo ktk kuhalalissha na kuharamisha maamuzi ya wenzao.

Akh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom