Makaimati
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 462
- 87
Leo nimesoma habari ya Uteuzi wa Naibu Gavana Dk. Natu, najua alikua kwy bodi ya BOT kwa kipindi kirefu na ni mwadhiri katika Chuo chetu kikuu, but akiwa kama mjumbe wa bodi ya BOT kwa kipindi chote alimshauri nini Gavana katika kuboresha uchumi wetu na je akiwa kama Naibu gavana wa BOT anaweza kutusaidia kupunguza mlipuko wa bei za chakula na vitu vingine? na kuhusu kuboresha dhamani ya shilingi iliyo shuka dhamani unadhani anaweza kuwa msaada kwetu sisi walala hoi au amewekwa apo kwa manufaa ya baadhi ya watu na wanasiasa.
Naomba mawazo.
Tatizo lako ni kuwa umeanza mada hii kwa kutarajia majibu uliotaka ya kuwa huyo ndugu ni Mwislamu na hivyo kuiharibu.
Pili kajifunze Kiswahili maana hakuna kitu dhamani bali thamani.
Wacheni udini huo.