Uteuzi wa Naibu Gavana wa BOT (Dk. Natu El- Maamry Mwamba) Una msaada gani kwa Jamii yetu kwa sasa?

Dr. Mwamba alikuwa mwalimu wa economics UDSM. Ni mtu anayejiheshimu (mavazi, kuongea-japo sio mwongeaji sana), sura ya kazi (but mzuri). kuhusiana na ufanisi ktk utendaji-hilo waliofanya nae kazi wanaweza wakatujuza. Aliyekuwa anashikilia nafasi hiyo ameenda EAC.
 
[h=1]Tanzanian Presidency Says Mwamba Named as Deputy Governor of Central Bank[/h]Tanzania appointed Natu el-Maamry Mwamba as a deputy governor of the central bank with effect from June 13.
Mwamba, who replaces Enos Bukuku, was previously an economics lecturer at the University of Dar es Salaam, the East African nation's presidency said in an e-mailed statement today from Dar es Salaam, the commercial capital.
Bukuku left the Bank of Tanzania to take up an appointment as deputy secretary-general of the East African Community, the presidency said.


Tanzanian Presidency Says Mwamba Named as Deputy Governor of Central Bank - Bloomberg
 
Dr. Mwamba alikuwa mwalimu wa economics UDSM. Ni mtu anayejiheshimu (mavazi, kuongea-japo sio mwongeaji sana), sura ya kazi (but mzuri). kuhusiana na ufanisi ktk utendaji-hilo waliofanya nae kazi wanaweza wakatujuza. Aliyekuwa anashikilia nafasi hiyo ameenda EAC.

nimeipenda signature yako
 
Mtashusha thamani ya dola wakati mnajuwa kununuwa tu kutoka nje? Anzeni na kuuza bidhaa zenu nje badala ya kuuza maneno JF.
siku zote wenzako wanakosoa serikali kwa uozo wake lakini wewe sijakuelewa bado ......gamba au magamba?
 
Mimi siangalii dini. Natu Mwamba alikuwa mwenyekiti wa bodi ya IFM na mnaona alichofanya. Amefanya mambo mengi mazuri....ingawa bado kuna hapa na pale....ambapo hata angepewa nani pia asingekuwa perfect! Kuwa mjumbe wa bodi sio maana yake wewe ndo mtekelezaji wa shughuli za BOT za kila siku. Unawaweza kutoa maoni yako na watu wasifuate. Unaweza kuwa mzuri sana lakini watu wenye mamlaka kuliko wewe wasifanyie chochote kuhusu mapendekezo yako. Zaidi ya yote mliona habari ya Dr. Daudi aliyesifika huko kote alikofanya kazi nje ya TZ lakini angalia kilichotokea alivyorudi TZ na kuwa Gov. wa BOT ....sasa hiyo utasema nini.....Tunataka watu wenye roho ya paka kama akina Magufuli, Mwakyembe etc ambao hawaogopi makunyanzi wala ndita.

Vinginevyo Natu asipoangalia!!!!!!! they will fix her...may be she is so clean and they fear she may one day bark at them so ....
Akina mama ndo empowerment hiyo....!!!!!!!! Gender and Merit equality!!!!!!!
 
..huyu ni Natujwa "Natu" El-Maamry Mwamba.

..nadhani ni binti wa kwanza wa Mzee Said El-Maamry.

..she has a Ph.D in Economics na amekuwa mhadhiri kwa muda mrefu UDSM.

..waacheni kina dada nao wapate nafasi kuonyesha uwezo wao.

..wanaume tumezidi ufisadi nchi hii, labda kina dada ndiyo ukombozi wetu sasa hivi.
 
Sasa CDM mnaelekea kubaya, yaani kila uteuzi wa mtu mwenye jina la kiislamu mnautilia shaka. Akiwa mkristu mnaona poa! Kwa taarifa yenu hii nchi yetu sote, haki sawa hakuna tena kanisa kushika hatamu!
 
kinacho matter ni uwezo na vigezo kama anavyo, wanaoangalia dini ni watu wenye mtazamo finyu na hasi, hivyo wanaweka maslahi ya dini mbele badala ya maslahi ya taifa letu
Chunga ulimi wako hapo kwenye red. usije ukamgusa mkuu wa kaya.....!
 
labda mtoa maada afafanue angependelea mtu wa aina gani achaguliwe?labda ana candidate bora zaidi kuliko el maamry, au anajua weekness zake.
But if he bases on religious matters!!! i dont think its good for ths nation coz nor muslim neither christian who developpe ths country bcoz of his religion.Tanzania has got four presidents, Two christians& Two muslims,none of them led the country to the deserved development level
 
Leo nimesoma habari ya Uteuzi wa Naibu Gavana Dk. Natu, najua alikua kwy bodi ya BOT kwa kipindi kirefu na ni mwadhiri katika Chuo chetu kikuu, but akiwa kama mjumbe wa bodi ya BOT kwa kipindi chote alimshauri nini Gavana katika kuboresha uchumi wetu na je akiwa kama Naibu gavana wa BOT anaweza kutusaidia kupunguza mlipuko wa bei za chakula na vitu vingine? na kuhusu kuboresha dhamani ya shilingi iliyo shuka dhamani unadhani anaweza kuwa msaada kwetu sisi walala hoi au amewekwa apo kwa manufaa ya baadhi ya watu na wanasiasa.Naomba mawazo.
Tanzania kitu kikipanda bei huwa akishuki, hicho ndicho nilichojifunza kwa miaka yote nilioishi tanzania. Amewekwa hapo kishkaji kwakuwa raisi wetu ni mshkaji basi kamwe hawezi kuwatosa washkaji. Tanzania ni ya watanzania ila tunatawaliwa kishkaji,tunaibiwa kishkaji na tutazikwa kishkaji. Oups Tanzania, land of my parents One day YES!!
 
Back
Top Bottom