Uteuzi Wa M/kiti Wa Bodi Ya Mamlaka ya Anga Tanzania

Namba 17 hapo imemaliza kila kitu. Kwa ufupi uteuzi wake ni halali kikatiba na kisheria mjadala ufungwe na kazi iendelee
Shida ya wabongo hatuumizi vichwa hata kidogo, na full ujuaji. Halafu majority ya hao timu malalamiko utakuta ni graduates.
 
Ameanza kuchomeka ndugu zake wazenji kwenye nafasi nyeti. Akitoka hapo atakuja kwenye majeshi nako atawajaza ile kuja kushituka nchi ilishakuwa ya wazanzibari ndipo tutajua kuwa hatujui.
Wala haina noma. Wazenji nao ni mda wao wa kula bata. Si aliona mfano na watu waliufyata! Kwani yeye hana kwao?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom