Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Wakuu anaitwa Victoria Charles Mwanziva
Katibu Hamasa na Chipukizi Umoja wa Vijana wa CCM Taifa.
Katibu Hamasa na Chipukizi Umoja wa Vijana wa CCM Taifa.
Hongera Dada soon utakuwa DC
Sio lazimaHongera Dada soon utakuwa DC
Grooming hiyo utashangaa ndio hao wanapikwaSio lazima
Hivi kwanini chipukizi wa vyama vingine hawaruhusiwi? Je kwanini watoto chini ya miaka 18 wanatumika kisiasa?Wakuu anaitwa Victoria Charles Mwanziva
Katibu Hamasa na Chipukizi Umoja wa Vijana wa CCM Taifa.