Uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM kuwa Katibu Mkuu kiongozi wazua mjadala, Mnyika ajitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yake

Mwal

Mwalimu wa chuo kikuu cha umma/ aliyefikia nafasi ya juu, huyo hatoshi kuwa afisa mwandamizi? Labda watusaidie mipaka ya hayo maneno ni kwa mtumishi aliyewahi kushika nafasi zipi
Bashiru hakuwa mtumishi wa umma baada kupewa ukatibu wa ccm
 
Usifikiri watu hawajui sheria. Na usifikiri raisi anaweza fanya kitu bila ushauri wa mwanasheria mkuu wa serikali. Hujiulizi kwa nini kafanyiwa teuzi mbili kwa wakati mmoja?
 
Hatari sana watu wanavyo jilimbikizia madaraka na vyeo, mtu mmoja ana vyeo vitatu;

1) Yeye Katibu Mkuu Wa Chama.

2) Yeye Balozi.

3) Yeye Katibu Mkuu Kiongozi.

Mwingine nae anavyeo zaidi ya sita: Yeye Rais, Yeye Askofu, Yeye Mhubiri Wa Kanisa, Yeye Daktari, Yeye Injinia, Yeye Mwalimu, Yeye Dereva Taxi Bubu, Yeye Mkuu Wa Majeshi n.k

Yote hii kuwanyamazisha watakaotaka kupinga kuongezwa kwa mihula ya urais.

NB: Hili swala la kutaka kuongeza mihula ya urais, CCM wakitaka kulazimisha kwa kigezo bunge lote lakwao basi nchi hii inaingia kwenye mpasuko. Watu watakichafua vibaya sana maana sasa wanajuta kwanini waligoma kuandamana pindi Tundu Lissu alivotoa wito.
Wewe uliandamana?
 
Unajuta peke yako tu hata nkeo anamkubali JPM
 
Back
Top Bottom