UTEUZI WA JPM

BAKOI

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
1,213
2,326
Wakuu habarini za saa hizi
Katika uteuzi wa jpm umenipa maswali kidogo kwasababu kuu kadhaa
1. Je katika chama cha mapinduzi hakuna watu wenye uwezo wa kuwa wakuu wa mikoa mpaka waende kuchagua upinzani??
2. Wale wanachama kindakindaki wa chama cha mapinduzi wanajisikiaje katika hili wakati wao wakiwakilisha chama Chao vyema halafu anateuliwa mtu ambaye sio chama Chao.
3. Au jpm n mbinu ya kuua chama cha act

Naamini wale wanachama kindakindaki roho zinawauma kwasababu mkuu kawavalia miwani ya mbao
 
Mimi nimemuonea huruma huyu aliyekatwa mkia, masikini anajitajidi wamuone lakini wapi..
 
Jamani siasa na uvyama si vilishaisha kipindi cha uchaguzi, kama mtu anaonekana anafaa kwa nafasi fulani utofauti wa chama usiwe kwikwazo.
Hongera kwa mama aliyechaguliwa tumpe nafasi na tutarajie maendeleo huko kilimanjaro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom