Uteuzi wa Job Masima kuwa Balozi Israel ni ishara ya Rais Magufuli kuinoa na kuiimarisha TISS

nasikia Israel ni wazuri ktk inteligensia... pia nasikia wana njia 100 za kuua mtu...mwee inaonekana ni hatari sana hawa.
 
TISS itaimarika kwa kuwa chombo huru...na siyo kuwa chini ya ofisi ya rais...kwa kuondoka kwenye majukumu ya ushauri tu, kwenda kwenye majukumu ya kutekeleza...
hivi wakati wa nyerere hii tasisi ilikuwa huru au chini ya nani.. na je utendaji wake ulikuwaje
 
Ni kweli Israel inaongoza katika teknnologia na ukiangalia tech security companies za Israel ndizo zenye tenda nyingi sana Ulimwenguni. Ushauri wangu waanze na mradi wa NIDA ambao naamini kwa kuwa Modestus anaufahamu fika ni eneo ambalo mchango wao unaweza kuwa wa manufaa sana kwetu. Mradi huu una impact kubwa sana kwenye ustawi wa Uchumi wa nchi yetu kwa ujumla. Pili kwenye kilimo na Umwagiliaji wako mbali sana. Israel ni almost jangwa lakini huwezi kuamini mazao ya kilimo yanayotoka kwenye jangwa hilo. Ukiona swimming pools zilizoko Tel Aviv utafikiri hawa jamaa wana mito kama huku kwetu. Tatu ni kuhusu Elimu, maandalizi yafanywe kuanza kuwaandaa wanafunzi kusoma na kujua Kiyahudi kwani ukitaka kupata Elimu nzuri Israel ni kwenye vyuo vyao ambavyo sharti moja kubwa ni ujue kiyahudi.

Waanze na mradi wa NIDA... waje kwenye umwagiliaji...... halafu waje kwenye elimu kwa kuanzia na kutufundisha Kiyahudi!

Yani unaandika kabisa a timescaled developmental blueprint based on kuomba omba na kupewa msaada

Wewe unawapa nini?

Hahahahahahahaaaa

Israeli haiwezi kuwa rafiki wa Tanzania kupita Scandinavians walivyokuwa wakati ule wana bankroll uchumi wa Nyerere. Na bado misaada haikututoa, haikutusaidia.

Israeli sio malaika wa bwana wala watakatifu watoa misaada bure. Unless you are a purist evangelical who believes that the Bible narrative is literally true. If you believe that the Holy Bible is literally true then Israel is a country of milk and honey, with plenty to hand out for free. Of course.
 
Waanze na mradi wa NIDA... waje kwenye umwagiliaji...... halafu waje kwenye elimu kwa kuanzia na kutufundisha Kiyahudi!

Yani unaandika kabisa a timescaled developmental blueprint based on kuomba omba na kupewa msaada

Wewe unawapa nini?

Hahahahahahahaaaa

Israeli haiwezi kuwa rafiki wa Tanzania kupita Scandinavians walivyokuwa wakati wana bankroll Tanzanai ya Nyerere. Na bado misaada haikututoa.

Israeli sio malaika wa bwana wala watakatifu watoa misaada bure. Unless you are a purist evangelical who believes that the Bible narrative is literally true. If you believe that the Holy Bible is literally true then Israel is a country of milk and honey, with plenty to hand out for free. Of course.

Umeandika vizuri mwishoni umeharibu kuhusu ukweli wa biblia! Kuamini biblia kuwa ni maandiko ya kweli haimaanishi unaamini israel ni taifa la maziwa na asali! Hapo kuna siasa na dini
 
hivi wakati wa nyerere hii tasisi ilikuwa huru au chini ya nani.. na je utendaji wake ulikuwaje
TISS haijawahi kuwa huru...Nyerere was exceptional leader, one in a million! Hatuwezi kutumia experiences zake ku-justify mfumo wa TISS, haswa kipindi hiki ambacho psychopath na sadist anaongoza nchi.

...BTW, hata kipindi cha Nyerere TISS ilitumia mfumo wa socialist intelligence, ambapo ufuatiliaji wa nini wananchi wanasema, wanawaza na wanapanga ulipewa kipaumbele! Hivi sasa tunapaswa kuwa na TISS inayoendekeza economic intelligence na yenye kuweza kutekeleza yale wanayoyagundua.
 
Miaka ya nyuma kidogo ilikua ni ngumu mkumjua afisa usalama wa Taifa nakumbuka niliwahi kujitia chizi mkoa fulani nikaibuka ofisi zao ili kuulizia nafasi za mafunzo nilienda asubuhi ila nilitoka jioni sanaaaa nikiwa nimeweka uchi ID yangu wale jamaa walinikomalia nimeambiwa na nani kua kuna nafasi siwezi sahau,siku hizi nikiwa bar mwehu anaanzisha ugomvi na anakimbilia kutoa kitambulisho kua yeye ni kitengo kuna mmoja alinikera sana alitoa kitambulisho na akasema hadi mshahara wao duh nimeshangaa juzi yule kilazà mwingine anatoa silaha kibwege vile alafu anamlenga mtu mchana kweupe tena mtua ambae hana silaha mbaya zaidi anakuja kudhibitiwa na Kitenge inaonyesha tumeoza kama Masima anapelekwa kwa nia ya kuimarisha kitengo naona ni vyema ila kama kumuimarisha mtu binafsi ni tatizo.
Haha ulifanikiwa au? Maana majuzi kuna mdogo wangu sijui alizipata stori kijiwe gani, akaniambia dada nataka niende kwa mkuu wa wilaya, nikamuuliza kufanyeje akanijibu kuulizia nafasi ya mafunzo ya "kitengo" nikamjibu usithubutu!
 
Mwambie tena asithubutu labda miaka hii kwa kua sio watata sana,mimi nilienda huo mkoa maana bi mkubwa alihamia kikazi na vile nimemaliza kidato cha 6 nikaenda kumpa kampani mother ila nilitoka nduki kurudi Dar bila kupenda maana walikua wanamuibukia bi mkubwa mara lundo pale job mpaka akawa ananiuliza wale rafiki zako watu wazima umewajulia wapi alafu kuna bar fulani ya RTC huo mkoa nilikua kila nikienda nao wapo nikaona nitakuja kutoswa baharini na jiwe la 100KG nawaheshimu sana wajomba wanaijua kazi yao.
 
Hahahahha! Pole mkuu.
 
TISS haijawahi kuwa huru...Nyerere was exceptional leader, one in a million! Hatuwezi kutumia experiences zake ku-justify mfumo wa TISS, haswa kipindi hiki ambacho psychopath na sadist anaongoza nchi.

...BTW, hata kipindi cha Nyerere TISS ilitumia mfumo wa socialist intelligence, ambapo ufuatiliaji wa nini wananchi wanasema, wanawaza na wanapanga ulipewa kipaumbele! Hivi sasa tunapaswa kuwa na TISS inayoendekeza economic intelligence na yenye kuweza kutekeleza yale wanayoyagundua.

Chief, naona umesindwa kabisa kuchuja maneno.

Taratibu mkuu.
 
Haha ulifanikiwa au? Maana majuzi kuna mdogo wangu sijui alizipata stori kijiwe gani, akaniambia dada nataka niende kwa mkuu wa wilaya, nikamuuliza kufanyeje akanijibu kuulizia nafasi ya mafunzo ya "kitengo" nikamjibu usithubutu!

Ulifanya vibaya.

Angepokelewa vizuri tu aelekezwe,kipi ni kipi.

Watu tuliishaibuka ofisi zao dsm, hapo jirani na jengo refu kuliko ikulu,kufika hapo tukauliza yaliyotusibu tukaelekezwa.tukajuzwa mengi mwishowe tukajua kuwa kumbe tunachokitaka kitambulisho tu, maana kama ni kazi tunaweza kufanya tu.
 
Hahha duh!
 
Mkuu umeleta uzi mzuri sana, Mkuu ana nia ya dhati kabisa ya kuumarisha taasisi yetu hii ya Usalama ambayo kiuhalisia imekuwa iko operate locally sana na haitakii kubadilika kwa mwavuli tu wa kuwa utendaji wao ni secret Mheshimiwa JPM alianza kuonesha nia ya ya dhati pale tu alipo mteua Modestus kipilimbi kama GD wa idara Kumuweka tu mtu ambae ni professional wa Computer science basi kutamfanya aipelekee idara Kisasa kabisa , Mbinu za Intelligence karibia katika agency zote ni Moja tunachozidiana Ni technology leo ukiangalia M15 ya uk au FBI utaona wanapopishana ni Tech tu, Uteuzi huo wa Job masima kama Balozi utaleta matokeo chanya katika kujifunza na kupata mapya juu ya usalama Huko.
M15.....??!!
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom