we nawe unajifanya expert wa kuendesha serikali unajua kazi za gavana au unafuata upepo wa hawa wakina mboweKuna vitu vya kufanyia mzaha lakini hapa kwetu vile ambavyo sio tunafanyia mizaha. Ngoja mtaona !
sasa DVC sio senior position we bashite
haya mkuu jioni njema ccm itaendelea kushinda kama chadema ina washauri wenye mtazamo kama wewe na ndugu yenu kigaila leo analala kwenye mbuDah aisee Ww Katafute Kwanza School Fees.
Ndo tatizo la Lumumba Chama Kinakwenda Mrama Kwa Kuleta Wanafunzi wawatetee JF .
I'm out.
we nawe unajifanya expert wa kuendesha serikali unajua kazi za gavana au unafuata upepo wa hawa wakina mbowe
Ni muda wa kufunga mkanda!Still...this appointment has really come out of left field.
I'm still scratching my head over it!
Matakwa ya mteuzi au matakwa ya sheria? Kama ni matakwa ya sheria aliyekuwepo ana tatizo gani?Sheria inaruhusu unless tuibadili ila uteuzi umezingatia matakwa ya sheria ya Benki yenyewe.
Jibu ulicho hojipambana na hali yako
PAMBANA NA HALI YAKOJibu ulicho hoji
Kutafuta sifa zakijinga mitandaoni kwa kuposti upumbavu
Kama mtei hamuhusu mtu
Luoga anakuhusu vipi!
ndo umejua leo kateuliwa?Uteuzi wa huyu Gavana una ukakasi aisee, maana Ana shahada tatu tu(LLB,LLM na pHD in Taxation law) katika vyeti vyake vyote kibaya zaidi degree ya pili napo alipigilia msumari sheria. Ya tatu nayo ni specialization ya sheria (pHD in Taxation law), bado nawaza hivi kweli mwanasheria kuanzia degree ya kwanza mpaka ya mwisho anapewa ugavana Benki kuu?
Nini kilicho nyuma ya pazia?
hii maada imejadiliwa sana humu, ulikuwa sijui una supp au uliwekwa ndani?
Uteuzi wa Gavana wa BoT, Profesa Florens Luoga umezingatia sheria ya Benki Kuu ya mwaka 2006
kumbuka BOT imekuwapo tangu 1920!!!!..akina nyirabu, mtei n.k hawakuwa wachumi au wahasibu n.k
chini ya huyo kuna experts wa uchumi wengi tu
DuuhBAVICHA mimacho inawatoka. Wamejivua uzalendo na kuvaa uadui na nchi.
Katika historia ya Tanzania itajulikana kundi la wapinga maendeleo vijana wa BAVICHA.