Uteuzi wa Dr. Slaa wageuka mwiba mwingine kwa upinzani

waziri mkuu (PM) miaka 10 mpaka kuwa mpiga kampeni vitongoji hiyo improvement?...Ogopa sana Dr. Slaa ile nguvu aliyoitumia kuibomoa CCM akiitumia kuibeba CCM!!...
Kama ana uwezo na ushawishi,hebu CCM mpeni jimbo hapa mjini agombee,muone atapata kura ngapi,hadhi yake imeporomoka hadi 0 hakuna raia mwenye akili atamuunga mkono zaidi ya CCM.Amebaki kushukuru kupewa nafasi za kupewa kama wale viti maalum wa kuteuliwa.
 
Miaka yote aliyopoteza akiinanga CCM leo anakula matapishi yake? Umaskini kitu kibaya. Sidhani kama mtu mwenye bima ya Afya, bima ya nyumba na bima ya baadaye anaweza kupoteza muda kuingia kwenye siasa alizozitukana kabla. Labda achaguliwe kwenda cuba, urusi na China lakini siyo nchi zinazotambua demokrasia.
Ataenda Italy aliposomea degree yake ya udaktari wa sheria za kanisa
 
Lowasa hawezi kukubali kudhalilishwa na kushushwa hivyo,heshima ya Lowasa ni kubwa huwezi kulinganisha na kibabu chenye mchumba siku zote,sijui ndoa lini jamani?

then alikuwa katibu wako for yrs na kura ukampigia? vitu vingine kaa kimya

ni sawa na kuwa uanze kumtukana mama yako wakati alikuzaa.ishia hapa mkuu
 
Amani iwe kwenu,

Nadhani wengi wetu tunakumbuka namna ambavyo Dr. Wilbroad Slaa alivyoleta mshituko mkubwa katika ulimwengu wa siasa, baada ya kutangaza rasmi kwamba anastaafu siasa.

Maamuzi haya aliyafanya baada ya yeye mwenyewe kusema hakuridhishwa na mchakato mzima wa kumpokea na hatimae kumpitisha mwanasiasa `machachari' Edward Lowassa kutoka CCM, aipeperushe bendela ya CHADEMA kwa mwavuli wa UKAWA, katika uchaguzi mkuu wa 2015.

Maamuzi haya yalimfanya apokee kila aina ya matusi na kejeli, huku wengine wakimbatiza jina `Dr. mihogo', wengine wakamwita msaliti na wengine wakimtukania hata familia yake.

Baada ya taarifa za uteuzi wa Dr. Slaa kuenea katika mitandao ya kijamii, kunajambo ambalo si la kawaida limeibuka hasa ktk upande wa upinzani,
wanalalamikia mbinu za Mh. Rais kuwateuwa wapinzani katika nyadhifa mbalimbali, akiwemo slaa, kwamba ni mbinu za kuuwa ama kudhoofisha upinzani.

Swali fikirishi: Wapinzani bado walimhesabu Slaa kama mpinzani? Ama Mh. rais amekosea kumchukua Dr. Slaa kama assert?

Nawasilisha.
Dr Slaa Mpinzani wa nani ?
Salesman wa Super market
Akimsaidia 2015 hivyo analipa fadhila na kumwokoa baada ya kufulia akiwa ulaya
 
then alikuwa katibu wako for yrs na kura ukampigia? vitu vingine kaa kimya

ni sawa na kuwa uanze kumtukana mama yako wakati alikuzaa.ishia hapa mkuu

Mkuu unitake radhi,huwezi kumlinganisha mama yangu mpendwa na hiki kishoia.Sijawai kumpa kura yangu,wala hajawai kuwa katibu wangu,na sijawai kumwamini hata siku moja.Sina kadi ya chama na mimi siyo moja ya misukule ya ccm.
 
Kuna mwingine kutoka urais hadi kutaka kuchunga ng'ombe
Bora mara mia huyo mchunga ng'ombe,nakumbuka hiki kibabu wakati kinaondoka Chadema kilisema "Chadema wameenda kuchukua kinyesi chooni na kukibwaka sebuleni".Hivyo hiki kibabu kikakimbia sebuleni kikajifanya kuzugazuga sasa kimekimbilia chooni kujidumbukiza kwenye kinyesi.Hii akili gani?Ndio maana hiki kibabu kinaishia kua na mchumba tuu siku zote.
 
Ccm yalifanya kampeni ya kisayansi kushtukiza kumteua Dr slaa kuwa balozi
Hapo tayari ilishabadili zaid 40% ya wapiga kura pamoja na yote wapo wengi bado wanamkubali babu
 
Ccm yalifanya kampeni ya kisayansi kushtukiza kumteua Dr slaa kuwa balozi
Hapo tayari ilishabadili zaid 40% ya wapiga kura pamoja na yote wapo wengi bado wanamkubali babu
Kibabu hakikubaliki chochote,kama kina kubalika hebu wakipe nafasi ya kugombea chochote uone atakavyoumbuka,personalily yake imeshuka,hadhubutu hata kuongea kwenye media kubwa, ataishia tuu kupewa uteuzi tuu kama viti maalum.
 
Muda ukifika tutakuja shuhudia tena nafasi ya ubunge tu huko kwao ndo utaamini siasa mchezo mchafu
 
Bora mara mia huyo mchunga ng'ombe,nakumbuka hiki kibabu wakati kinaondoka Chadema kilisema "Chadema wameenda kuchukua kinyesi chooni na kukibwaka sebuleni".Hivyo hiki kibabu kikakimbia sebuleni kikajifanya kuzugazuga sasa kimekimbilia chooni kujidumbukiza kwenye kinyesi.Hii akili gani?Ndio maana hiki kibabu kinaishia kua na mchumba tuu siku zote.
Kinyesi ni lowasa..waliyemuhubiri miaka nane kupitia operation sangara kuwa hafai, achomwe moto, mwizi
IMG_20161215_160944.jpg
 
Mkuu unitake radhi,huwezi kumlinganisha mama yangu mpendwa na hiki kishoia.Sijawai kumpa kura yangu,wala hajawai kuwa katibu wangu,na sijawai kumwamini hata siku moja.Sina kadi ya chama na mimi siyo moja ya misukule ya ccm.

mkuu unarukaruka tu! ulimkubali slaa akiwa chadema, leo unamruka? misukule haiko ccm tu kila mahali, ila unaweza kumkana hata mama yako kwa tabia yako

una post au uthibitisho wowote kuwa ulimchukia slaa akiwa chadema?
 
Huu siyo mwiba kwa upinzani. Ni mwiba kwa nchi. Dr. Slaa sasa atalipwa mafao kama mabalozi wengine wote japo hatafanya kazi ya ubalozi. Umri wa utumishi serikalini ni miaka 60. Kwa majaji miaka 65 (kwa mkataba). Dr. Slaa ana miaka 69. Hii itakula kwa mteuzi tu. Kuifuta hawezi. Kumpanga kituo hawezi. Akiweza, itatokea tafsiri tofauti. Taifa huongozwa kwa hekima isiyonunuliwa dukani.
 
mimi sijaona effect ya kuondoka upinzani si kwa wapinzani wenyewe wala ccm,kateuliwa kwa kazi ya kitaifa basiiii
 
Back
Top Bottom