Ni huyu huyu ndo aliondoa tittle ya specialist (daktari bingwa) kwa kuwa yeye hana hiyo title. Wenzake wameirudisha, Si ajabu atajaribu kuondoa tena.Hana jipya zaidi ya chuki dhidi ya madaktari wenzake walio juu yake!
Mkuu statement yako inaonesha ni jinsi gani muungano unavyowanyima haki watu wa Tanzania Bara kuitwa watanganyika
Ifikie mahal watanganyika tufanye maamuzi magumu lakini yenye tija kwa jamii inayotufuata.
Pia kuna taarifa zinasema kuwa huyu Dr. Mwinyi alifeli masomo yake hapo Muhimbili akiwa mwaka wa nne, akapelekwa nje ya nchi kumalizia masomo. Leo ndio anawaongoza wale waliomzidi uwezo!. Kaazi kweli
Na hakika wakubwa hawakutegemea kama watu wangeona hilo.
Wizara aliyopewa inaendana na taaluma yake, ila hiyo ya u kwahani na u tanganyika sidhani kama ndo wakati wake, so long bado tupo kwenye muungano. Nahodha anatokea kule lakini waziri pia
Mwinyi ni humpty dumpty. Hata angekuwa na clinic yake binafsi mngesikia jinsi watu wanavyokufa kule. Ni fadhla tu kwa sababu baba Mwinyi ndiye alimwondoa Kikwete mbugani na kumwonyesha mwanga wa ufisadi. It is payback time.
Hussein Mwinyi kateuliwa kwa sababu ya "Utanzania" wake na si kwa sababu ya "Uzanzibari" wake!
Muungano wetu ni undefined kabisa. Mwinyi kipenzi cha JK sana.
Mkuu MNYISANZU,
Pamoja na utata mwingi unaouzunguka muungano wetu lakini kuna zile ''articles of union'' ambazo kimsingi ndizo zinapaswa kutuongoza katika kuudumisha na kuuimarisha muungano.
Sasa inapotokea kiongozi mkuu wa nchi hazingatii hilo, sisi wananchi tunafanyaje?