Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

Unabii usio na kichwa na miguu huku ndugu yenu anashambuliwa na funza bila hata ya kujitetea huko Chattle!

Lema alisema jamaa yenu hatamaliza awamu yake, T.B Joshua yeye alishuka kwenye ndege akiwa pekupeku 2015 ila nyie MATAGA wala hamkuelewa lolote,na hamtakuja kuelewa nguruwe nyie.
TB Joshua alisanuka akaondoka bila kuaga akimwachia jamaa moto 🔥
 
Is there any substantial evidence that backs up that Biswalo Mganga is implicated in office abuse as quoted from the two attached threads and personal opinion by Godbless Lema a none legible fugitive in Canada? Is it justifiable for a none legible fugitive to curse a judiciary appointment into office suggesting Biswalo Mganga was not qualified to be a judge and that he was liable to be imprisoned or lamenting in hell. Does Godbless Lema have the moral authority to subscribe to such a punitive statement against a judiciary appointee?

Were you comfortable quoting such an animosity statement and post on the public shared platform and for what targeted purpose?

Personal hatred is now ground being staged by haters of all colors will surface beyond the expectations as the current regime enjoys seeing these kinds of confrontations prevail in the country.
Unataka ushaidi gani?
 
Godbless Lema yeye kama nani anatoa order kama hiyo... jambazi tu huyu kasumbua sana Arusha eti leo ni mwanasiasa! siasa nayo ni sehemu ya watu washenzi kujifichia!

Hana maadili? Hao majaji wengine waliokuwa kwenye hivi vyeo mpaka kuozea huko wamefanya mambo gani ya maana?

Hii ni kinga kwake zaidi maana najua kuna watu walikuwa wanategemea atatupiliwa mbali. Na pengine sasa atakua kwenye kiti maalum cha kufanya maamuzi dhidi za kesi... kwa kifupi hiki ni kipimo kwake!

aachwe hapo hapo!
Kwa nini hakukamatwa siku zote kama yeye ni Jambazi?
 
Uhuru bila mipaka ni Vurugu.

yaani watanzania sasa wamekuwa huru kuzungumza hadi wanavuka mipaka!!!!

yaaani wamefikia hatua sasa ya kumpangia Rais nini cha kufanya!!!!

Duh!!! hili sasa limezidi na endapo Kiongozi wetu ataendekeza kupekeshwa na majungu basi hii nchi haiwezi kwenda mbele.

Tena ingekuwa mimi basi huyo mnaye mpiga fitina na majungu ningemteua kuwa Jaji Mkuu kabisaa, hamna maaana kabisa nyie watu, mmekosa aibu kabisa.

huyo mnaye mpiga fitina hajaokotwa barabarani alikuwa DPP na aliteuliwa na mamlaka.
 
Uhuru bila mipaka ni Vurugu.

yaani watanzania sasa wamekuwa huru kuzungumza hadi wanavuka mipaka!!!!

yaaani wamefikia hatua sasa ya kumpangia Rais nini cha kufanya!!!!

Duh!!! hili sasa limezidi na endapo Kiongozi wetu ataendekeza kupekeshwa na majungu basi hii nchi haiwezi kwenda mbele.

Tena ingekuwa mimi basi huyo mnaye mpiga fitina na majungu ningemteua kuwa Jaji Mkuu kabisaa, hamna maaana kabisa nyie watu, mmekosa aibu kabisa.

huyo mnaye mpiga fitina hajaokotwa barabarani alikuwa DPP na aliteuliwa na mamlaka.
2736800_20210409_055145.jpg
 
Ifike mahala sasa, tusikubali viongozi wetu ambao wanajitoa kufanya kazi kwa moyo mmoja wachafuliwe kirahisi rahisi hivi.

tumeshuhudia tabia hii imeshamiri kwa kasi kubwa sana mara baada ya hayati JPM kuaga dunia!! hili halikubaliki na wala lisifumbiwe macho, tumeona maneno na kashifa nyingi zikitolewa kwa viongozi wetu wajuu, tuhuma za kizushi, majungu na fitina, hii si sawa.

mamlaka zinazo husika chukueni hatua, kwa nini mnaachilia watu wanachafuliwa tu, kutokana na chuki binafsi!!

kazi aliyo ifanya DPP ni ngumu sana ambayo hata angekuwa mtu yoyote yule lazima upate maadui wengi tu, ni sawa na kazi ya Ujaji au Uhakimu kamwe huwezi kupendwa na watu wote lazima wapo wengi watakuchukia kutokana na aina ya kazi yako kuwa huwezi kuwaridhisha watu wote na haswa kama unamsimamo na unasimamia sheria kikamilifu.

Biswalo ni mtu alitolea kufanya kazi zake kwa uaminifu wa hali ya juu na kutokana na uadilifu wake wapo ambao walitaka kumtoa kwenye msimamo na walishindwa, sasa nadhani ndio wakati wao wa kupiga majungu na kumfitini ilimradi achafuke ili wapate ushindi.

kamwe Rais wetu asiingie kwenye mtengo na kuwasikiliza watu wenye chuki zao binafsi.
 
Nimesoma uteuzi wa Majaji uliofanywa na Mh Rais ,nimeelekeza Mawakili wangu waweke pingamizi mara moja la kuzuia kuapishwa kwa aliyekuwa DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu,hana sifa wala maadili ya kuwa mwamuzi wa haki za Watanzania,anastahili kuwa jela au jehanamu.

Mytake : NI AIBU KUBWA SANA KWA MTEULE WA RAIS KUPINGWA MAHAKAMANI .

Pia soma
Hivi Ile Kesi Waliyosema Cdm wanaifungua Ili Biswalo Mganga asiapishwe Ilishafumguliwa Mahakama Kuu?
 
Hivi Ile Kesi Waliyosema Cdm wanaifungua Ili Biswalo Mganga asiapishwe Ilishafumguliwa Mahakama Kuu?
Jaji mkuu amesema majaji wote walioteuliwa walipitia kamati sio chini ya tatu kwa wakati tofauti na vipimo tofauiti ndio hao wakafaulu kwa kulingana na mahitaji yaliyopo.

Kelele unazozisikia ni za wanasiasa na wanaharakati uchwara
 
God bless Lema ni nabii bora kabisa wa kizazi chetu!!tangu aote ndoto ya kifo cha jiwe nadhani kila mmoja atakuwa makini kwa tamko lake!!
Ni taahira tu yule,

Mbona asiote chadema ishinde ili iende ikulu? Alishindwaje kuota ili awe mbunge?
 
Back
Top Bottom