Uteuzi wa Bilal Neema Kambi ya Lowassa 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uteuzi wa Bilal Neema Kambi ya Lowassa 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlalahoi, Jul 14, 2010.

 1. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  I said it yesterday (angalia hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/66784-kwa-ufupi-bilal-alikuwa-aondoke-ccm-7.html#post986362),na inaelekea jamaa wa Majira wana mtizamo kama huo.  CHANZO: Majira
   
 2. n

  newazz JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2010
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Lowasa hawezi kuwa raisi wa Tanzania Period
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  huyu mwivi mamvi alaaniwe daima milele , amina
   
 4. n

  newazz JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2010
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Hivi kweli uraisi unachongwa kwa kiwango hicho?

  Ni kwanini watu wahangaike, watumie kila mbinu ili Lowasa apate uraisi?

  Kuna nini kwenye uraisi wa Lowasa? Anataka kufanya nini? Kipi anatakachofanya na ambacho hajawahi kufanya?

  Nionavyo binafsi, yeye anajiandaa na makundi ya maswaiba wake wakiwa na ajenda mbili.

  1. Kulipiza kisasi kwa kuwaadhibu watu wote waliohusika na kuanguka kwa Lowasa na timu yake , kwenye uongozi mbalimbali. Ni kisasi ! kisasi! kisasi!

  2. Kujinufaisha kiuchumi kwa kuhodhi fursa zote za kiuchumi , kufidia fursa za kiuchumi ambazo wamepunguziwa kwa vile hawako moja kwa moja serikalini kwa muda wa miaka kama saba ijayo.

  Hivyo basi, Lowasa na watu wowote wanaounga mkono azma hiyo, hayo ndiyo malengo wanayotaka kuyatekeleza na hayana mstakabali mwema kwa watanzania.

  Kama watanzania tuko makini , huo ndio muhula kwa kumkataaa Lowasa na vikaragosi, swali muhimu ni kama watanzania tutakubali kuwa kondoo wa kafara wa akina Lowasa mpaka lini ? mpaka lini ?, mpaka lini?.................
   
 5. r

  rimbocho Member

  #5
  Jul 14, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumaliza haya yote tunawaomba ndugu zetu wa CHADEMA watuandalie Dr. Slaa. Tafadhali naandika thread hii nikiwa na majonzi sana na nchi yangu inako elekea. Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa. Soma Isaya 3- 10 utaona mpango wa Mungu katika kuikomboa Tanzania.
  Amina
   
 6. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Politics!!!! Lisemwalo lipo kama halipo linakuja. Inaonekana RA na EL hawajakubali kabisa kushindwa. Wanajitahidi kumdandia mtu yeyote ili mradi wafanikishe malengo yao ya kisiasa. Lakini WATASHINDWA kwa JINA LA YESU. Hii nchi si ya kufanyia majaribio ya kiuongozi.

  tunakata kiongozi mwenye maono ya kuipigisha nchi hatua kimaendeleo na si kulipiza kisasi au kujinufaisha binafsi
   
 7. F

  Froida JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280

  Huyu jamaa anatakiwa atundikwe anyongwe kabisa uchu wake wa madaraka utatufanya tuingie kwenye vita mtu anayesujudu mafisadi,mwivi,mroho na mwenye uchu wa kutisha wa madaraka naasiyekubali yaaishe hafaiiii hata kidogo kuwa raisi wa nchi,nchi yetu sasa ni tete kisiasa haitaki majambazi na watu wenye roho za uchu kama Lowassa anaweza akafanya kitu chochote akasababisha umwagaaji waa damu,alipoteza hadhi ilishapotea haitakaa irudi tena kamwe kamwe
   
 8. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Someni Mwanahalisi muelewe kwamba waliogaragazwa katika uchaguzi huu ni EL na RA waliokuwa wamepania kumsimika Bilal urais wa Zanzibar kwa kutumia fedha na kwa tambo wakaambulia patupu! Makamu wa Rais Bara hana nguvu zozote na Bilal akifanya mchezo kutaka kufanya atakavyo badala ya kumsikiliza Rais ataonja shubiri ya jeuri ya JK.
   
 9. Kali Kenye

  Kali Kenye Member

  #9
  Mar 5, 2014
  Joined: Dec 4, 2013
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mi sijui
   
 10. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2014
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  hembu waulize vizuri Lumumba halafu uje...kwa Sisi tunajua ataziba nafsi ya CCM halfu aje aonje chungu ya CDM..
   
Loading...