Uteuzi wa Anna: Zitto aandamwa mitandaoni, aweweseka

Fikra za kuambukizwa mbaya sana.
Kwa hiyo Zitto kapungukiwa nini.

465bfa7d85b243596d8006063858a4b0.jpg
0c2e9460e35a155a628f2a8bc4c6ad96.jpg
a115429017dd8b8d7cac7d72c2f9c6c5.jpg


Zitto umekua mwepesi....njoo uombe msamaha chadema tu tupambane.
 
  • Hiyo picha inayo muonesha Mama Anna akipewa ilani ya CCM ni ya ukweli
  • Hadi nimetamani angelikuwa tu CCM:)
Ukifuatilia kwa makini ACT ni kundi la ccm nje ya Lumumba , Zitto ndiye mtu pekee aliyeanzisha chama akiwa bado ndani ya chama kingine .

Huyu mama , Zitto na Kitila Mkumbo walikuwa wanaccm kitambo kirefu sana .
 
Uliambiwa ACT ni ya Lowassa ulikubali.
Unaaminishwa ACT ni ya ccm unakubali.
Utaambiwa ACT ni ya ACACIA utakubali tu.
HONGERA SANA.
Ukifuatilia kwa makini ACT ni kundi la ccm nje ya Lumumba , Zitto ndiye mtu pekee aliyeanzisha chama akiwa bado ndani ya chama kingine .

Huyu mama , Zitto na Kitila Mkumbo walikuwa wanaccm kitambo kirefu sana .
 
Uliambiwa ACT ni ya Lowassa ulikubali.
Unaaminishwa ACT ni ya ccm unakubali.
Utaambiwa ACT ni ya ACACIA utakubali tu.
HONGERA SANA.
Inawezekana yote yakawa uongo , lakini sasa ni dhahiri ccm ina mtaji ndani ya ACT .
 
Nafikiri hata wakati ACT tunamkabidhi magufuli ilani yetu nawe ulitamani magufuli angekuwa ACT, kama ni kweli ndivyo ulivyo.
  • Hiyo picha inayo muonesha Mama Anna akipewa ilani ya CCM ni ya ukweli
  • Hadi nimetamani angelikuwa tu CCM:)
 
Inawezekana yote yakawa uongo , lakini sasa ni dhahiri ccm ina mtaji ndani ya ACT .
Ni fikra za ndani ya box, ebu jaribu kutoka nje ya box uone watu wanavyoishi.
ACT tuna mtaji wa kujitangaza na kutambulika zaidi pale Anna atakapowajibika vizuri.
 
Amependeza duh! Mwenye Enzi Mungu akutangulie bibie!
 
Sio nyinyi vilaza ...lissu kalopoka .. zitto kajibu hoja...lissu kaa kimya
 
465bfa7d85b243596d8006063858a4b0.jpg
0c2e9460e35a155a628f2a8bc4c6ad96.jpg


Zitto umekua mwepesi....njoo uombe msamaha chadema tu tupambane.


Tatizo nini hapo? Alimpa Raisi Ilani ya ACT, Mzee Kaisoma kaielewa kaona kuna values kidogo humo. Sasa Kapewa ya CCM akachanganye na za kwake kichwani atumikie Watanzania.

Lazima mkubali kukweli huu Ilani ya chama cha Mapinduzi inatekelezwa na wote walioapa kutumikia nafasi za Umma iwe Mkuu wa Mkoa,Mbunge,Diwani au Mwenyekiti wa Kijiji/Mtaa. Wote hao ni watekelezaji wa Ilani ya Chama kinachoongoza nchi na kwa hapa Tanzania ni CCM.
 
Asante Mungu, unazidi kunionyesha na kuthibitisha yale niliyoyasimamia tokea 2012 wakati Zitto anaanzisha choko choko za kuibomoa CHADEMA, kwamba ACT hakikuwa chama cha upinzani bali tawi la watawala lilioanzishwa kwa lengo la kudhoofisha wapinzani...Leo mama kaamua kuacha uenyekiti wa chama chake hahaha kakabidhiwa ilani ya chama alichokuwa akinadi kutoamini katika ilani wala itikadi yao....
Ccj
 
kiujumla hili la mwenyekiti wa chama cha ACT kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa ambaye ni mtekelezaji mkuu wa ilani ya chama tawala inazua maswali kuliko majibu. kiukweli ACT ni tawi la ccm.

Hivi toka lini Ilani ikawa na shida. Au watekelezaji. Acheni mama moja apate mshiko. Mbili afanye kazi. 3. apandishe chati yake. Nk nk. Hivi unadhani Lowasa anahangaika Hivi Urais. Anakupenda sana wewe ehhh. Ahhhhh love yourself. Na Yeye anajipenda. Nyie ongeeni kama vile maisha na siasa zimeanza leo
 
Back
Top Bottom