Uteuzi wa Anna: Zitto aandamwa mitandaoni, aweweseka

Asante Mungu, unazidi kunionyesha na kuthibitisha yale niliyoyasimamia tokea 2012 wakati Zitto anaanzisha choko choko za kuibomoa CHADEMA, kwamba ACT hakikuwa chama cha upinzani bali tawi la watawala lilioanzishwa kwa lengo la kudhoofisha wapinzani...Leo mama kaamua kuacha uenyekiti wa chama chake hahaha kakabidhiwa ilani ya chama alichokuwa akinadi kutoamini katika ilani wala itikadi yao....
yaani kuanzia mwakani naye ataupokea mwenge katika mkoa wake kwz mbwembwe ilhali chama chake kilikuwa hakikukubali mambo ya mwengd. nimeamini kuna wapinzani na upinzani.
 
Siasa bana, leo tunamwona Zitto hana majibu na tunamcheka.

Sisi tukiulizwa majibu kwenye kumpokea EL na kufuta slogan za kupinga ufisadi tunapaniki balaa.

Mimi sioni chama pinzani TZ.
 
Tuoneshe Zitto anavyoweweseka
_20170606_163750.JPG
 
Wivu utakuua mleta mada, hapo moyoni ulitamani ngosha ateue kutoka team wema (chadema) ili kusudi mje hapa kubinua midomo 'magu anazikubali sera za chadema'!!
Na ngosha alivyo kauzu anazd kuwapotezea tu
Kuna kuna mtu anapenda kuteam up na vichaa ama kweli zumbukuku wengi! Hata mawaziri wanatafuta pa kutokea hawapaoni! wapo kifungoni. Hadi mpate dawa ya kutibu ukichaa ndipo itanoga kuchaguliwa na magu
 
Mawazo yako ya ajabu sana.
Kwa hiyo kupost maneno ya quran ni kuweweseka?
Aisee!
ANYWAY umetuonyesha kiwango chako cha fikra.
Kutokana na uteuzi wa Mama Anna Mgwira aliyekuwa mwenyekiti wa ACT Wazalendo kuwa RC Kilimanjaro na mjumbe wa vikao vya CCM mkoa, Mh.Zitto Kabwe amekuwa akiandamwa mitandaoni na mashabiki wake.

Zitto amekuwa akilazimishwa kutoa tamko ikiwa pamoja na kukejeliwa kwamba ACT ni ''Amri ya Chama Tawala''. Lakini toka uteuzi huo Zitto Kabwe amekuwa aki-post nukuu za Quran jambo linaloonyesha kuweweseka kwake.

FUNZO
Karma is a bi*****ch for all traitors
 
Nilishesema hivi vyama ni majanga tu. Huyu mama kwa kuzingatia misingi ya vyama vya upinzani asingekubali hiyo nafasi but kama Comrade Miguna Miguna wa Kenya alivyosema "African Politicians are greedy and selfish".
 
Maandiko matakatifu yanaonyesha kwamba laana ya usaliti inatafuna mpaka kizazi cha 4 .
 
Back
Top Bottom