uteuzi wa Afisa wa Jeshi kuongoza kikosi cha Zimamoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

uteuzi wa Afisa wa Jeshi kuongoza kikosi cha Zimamoto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SAIZI YANGU, Dec 3, 2013.

 1. S

  SAIZI YANGU JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2013
  Joined: Nov 8, 2013
  Messages: 380
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Najiuliza bila kupata majibu, leo nimemua niwaulize wana Jf. Tulisia uteuzi wa afisa wa Jeshi kuwa Naibu wa Mkuu wa fire. Swali huko ni kiboresha au matumizi mabaya ya maafisa wa Jeshi.Je tokea aende huko kuna mabadiriko yoyote? Mwenye dat.
   
Loading...