Uteuzi unaotia shaka - Ukanda na Ukabila mtupu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uteuzi unaotia shaka - Ukanda na Ukabila mtupu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Cynic, Jan 27, 2009.

 1. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Msolla aunda kamati ya kuchochea sayansi
  James Magai

  WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Peter Msolla ameunda Kamati ya ushauri katika masuala ya Teknolojia na Mawasiliano ambayo pamoja na majukumu mengine itaishauri Serikali namna ya kuwavutia vijana wasome masomo ya sayansi.


  Prof. Msolla alisema hayo ofisini kwake jana, kabla ya uzinduzi wa Kamati ya ushauri wa masuala ya Teknolojia na Mawasiliano ambayo iliundwa hivi karibuni.


  Wajumbe wa Kamati hiyo ni Profesa Mathew Luhanga , Profesa Burton Mwamila, Profesa Suzan Nchimbi Msolla, Profesa Keto Mshigeni na Margareth Munyagi.Wengine ni Dk.Tito Mwinuka na Margareth Komba ambao mi wajumbe wa sekretarieti.


  Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye ni Makamu Mkuu Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Profesa Luhanga, alsema Kamati yake itatumia uwezo wake utakaoisaidia Wizara katika utendaji wake kwa ajili ya maendeleo ya Taifa na kwamba wiki ijayo watakaa kutafakari namna ya kutekeleza majukumu hayo.

  Tuma maoni kwa Mhariri

  © Mwananchi Communications Ltd 2006- 2009


  Hivi hakuna wanasayansi wanaofaa kuwepo kwenye kamati hii kutoka kwinginepo? Na wote ni wakristo!
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Sasa watu wote hapo wazee..je kweli kuna jipya?

  Tunahitaji damu na mawazo mapya!

  You can not teach old dogs new tricks!
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo walichaguliwa kwa sababu ya ukabila au udini au vyote viwili?


  Mods hii ipelekwe inapostahili, "UMBEYA NA VICHEKESHO"
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Hiyo damu na mawazo mapya ilikuwa wapi?
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Kale kaugonjwa ka inferiority complex kumbe bado kanawasumbua hawa majaa wa Muhammadan.

  Madrasa inafanya kaaazi kweli kweli.
   
 6. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2009
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 704
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hamna cha umbeya wala vichekesho iachwe hapa hapa. Lazima watu watambue teuzi zinavyokwenda. Najua ya SUA hayakujulikana ila sasa hivi mambo hadharani
   
  Last edited: Jan 27, 2009
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Wote NI WAKRISTO, waislam bwana,....!@#?, Mbona wakristo HAWALALAMIKI/hawasemi RAIS NI MUISLAM NA MAKAMU WAKE NI MUISLAM?

  Acheni ushabiki, usio kuwa na maana. Hawo waliochaguliwa wanafaa na ni sahihi.

  Kama unataka waislam, basi nenda Iran, huko wote ni wa muhammadan, and no body cares.
   
  Last edited: Jan 27, 2009
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ama kwa hakika JF ni kielelezo cha mfubau wa vichwa vya waTz..This shows exactly why we are so backwards...

  Umeambiwa waziri ameunda timu itakayochochea nyanja za kisayansi..hili ni jambo la manufaa ukiliangalia hata kwa micro au macroscopic level: Lakini hebu tazama pumba ambazo zimeshavurumishwa:

  1. Udini
  2. Ukanda
  3. Ukabila
  4. Kudhani kuwa walioteuliwa wamepewa ULAJI..
  5. n.k.

  Kaazi kwelikweli..
   
 9. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Ng'ombe hazeeki maini!
   
 10. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2009
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ndugu administrator naomba huyu jamaa ASHUGHULIKIWE......

  Tanzanianjema
   
 11. K

  Kijunjwe Senior Member

  #11
  Jan 27, 2009
  Joined: Mar 3, 2007
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Hii haijatulia katika mtazamo,

  Nadhani yaliotangulia hapo kabla yako yalitolewa na wachache, sasa wewe inakuwaje unajumuisha wote?
   
 12. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Kumbe na wewe unako.
   
 13. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Ndugu zako wanadai WOTE NI WAKRISTO, JE NA WEWE UNASEMAJE?
   
 14. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2009
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nafahamu taaluma za Prof. Luhanga, Dr. Mwamila na Miss. Munyagi, wote ni wahandisi. Hao wengine pia either ni wahandisi au wamesoma sayansi, sina uhakika na wengine. Maybe hapa kigezo ni kuwa msomi katika nyanja hizo, na hata jina la hiyo kamati ni Kamati ya ushauri katika masuala ya Teknolojia na Mawasiliano. Sasa kama wasomi wa makabila au kanda nyingine labda wengi ni wa Arts au something else, huoni probability ya kupatikana mtu wa huko pia inashuka?
   
 15. K

  Kijunjwe Senior Member

  #15
  Jan 27, 2009
  Joined: Mar 3, 2007
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hilo la kusema wote ni wakristo sio jema vile vile, lakini unapogundua kuwa mtu ana mtazamo mfupi au hasi unampa shule.

  kwangu mtu kuwa islamic au christian haina shida, kinachonipa utata ni pale ninapogundua uwezo wake ni mdogo na mausiano yake yanamapungufu kiimani juu ya watu wengine.
   
 16. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Tanzania hatuna tatiuzo la udini. Ni watu tu wanataka kulileta sasa. Huko nyuma mbona tuliishi kwa amani sana!!!! Katiba yetu haipi kipaumbele masuala ya dini, kila mtu ana uhuru wa kuabudu ila tu asivuke au kuvunja sheria. Na nchi haiendeshwi kwa misingi ya udini ndo maana Mwinyi na Kikwete hawakuchaguliwa na waislam pekeee, ni watanzania wote. Tujitahidi sana kuachana na kujadili dini. Mtu achaguliwe kwa uwezo wake katika kushika madaraka fulani, na kiongozi yeyote halazimiki kumchagua bodi member au yeyote kwa misingi ya dini bali ni kwa misingi yake ya utendaji uliotukuka kama kweli upo kwa Watanzania.

  Kwa sababu tunataka kuleta udini ndo maana sasa mara utasikia kujiunga na OIC mara mahakama ya kadhi!!!! Yote ya nini!!! Mahakama ni moja na tu wamoja. Kila mwenye dini ana uhuru wa kujiunga na taasisi relevant ya dini yake na si kulazimisha watz wote. Anyway, nimelizungumzia hili hapa japo si mlengo wa thread hii ni kwa vile tu nataka kuonyesha kuwa masuala ya dini Tz tuyaweke pembeni kwani si msingi wa katiba yetu. Jaribu kutizama back na uone jinsi nchi zinazohalalisha makundi ya dini zinavyopata matatizo duniani. Thanks.
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nashukuru kama umeliona hili..

  Maana hapa hatu-promote kabila wala dini bali SAYANSI & TEKNOLOJIA.

  Vilevile mimi sioni ishu, watu wanaoona ishu ni wale wenye upeo finyu ambao ni hawa hapa:

   
 18. L

  Lorah JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2009
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  basi wamuongeze na karamagi teheteheteh si mwislamu musomi aongezee T....
   
 19. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Prof Nchimbi-Msolla of SUA is a brilliant plant breeder, married to Prof Peter Msolla's bother (the football coach, Mshindo Msolla). I just can't understand how this is related to IT&C. May be terms of reference (ToR) for the task of the committee include biotechnology (which is her area of expertise). Otherwise this might be another Bongo Dar as well!!
   
 20. A

  August JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  hapa hatu fanyi mashindano ya waislamu wala ukristo, na haina haja ya kutia chumvi kwenye kidonda, tujaribu kuweka muelekeo wakurekebishana , hasa katika suala kama hili la dini, na ukabila. na suggestion ya mtoa mada sio mbaya saana, au tuseme amekosea jinsi alivyo iwakilisha, lakini kuna point kama hizi zifuatazo kitaaluma lakini, kwamba unapochagua watu wa ssehemu mbali mbali , dini mbali mbali kuna saidia kupata muono wa watu wengine juu ya kitu fulani. eg ukimchagua muislamu wa rifiji, si pia utapata maono ya watu wa rufiji, na hata maono ya ndugu zetu waislamu juu ya sayansi, pamoja na ujuzi wa muhusika katika hiyo sayansi.kwa hiyo hapa utapata vitu vitatu kwa pamoja. hata ukachanganya na muarusha/meru/maasai utapata pia experience ya watu wa huko, tunajua na tunaelewa kwamba ni vigumu katika kila jambo kuwa fair kama tunavyo penda lakini kila jambo likiwa na uwigo mpana linakuwa na manufaa
   
Loading...